Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahahaha Jamanii.

Heri ya Kuzaliwa Harabuuujiii, Miaka Mingi Ujaaliwe Uone Vitukuu Vyakoo Na Wakwe Zako InshaAllah.

Ile Ftari Yako Ndo Naona Itafaa Kuwa Leo. Unitaarifu Nakupataje
amin amin amin
kuhusu futari sijui hata itakuwaje ila nakushukuru kwa offer yako hivyo basi naomba uniwakilishe kwa niaba yangu.
utapofuturu wewe huku ukiwa na furaha nitajihisi kama na mimi tulifuturu pamoja.
mchana mwema agassi.
 
Amiin,

Itabidi Niftari Bakuli 2 Yako Na Yangu.

Na Kwako Pia Harabuuji Mtarajiwa.
 
EMPTY Umeiona Wok Of Love Ya Jang Hyuk??

Utakuwa Umeiona Sema Umeidharau Kama Kawaida Yako,!

Sababu Ilivyoanza Mwanzoni Kama Ya Kitoto Ila Ni Kati ya Drama za kujifunza Sana, Naona Wanaelezea Maisha Kabisa Vijana Tunayokumbana Nayo Na Ata Jinsi Mtu Unavyopitia Majaribu Na Mitihani Ya Dunia. Sema Wameiweka Kitoto Toto Sana.
 
06/06
daebak daebak
siku inayofanana na tarehe ya leo na muda kama huu miaka X iliopita nilibahatika kuuona mwanga wa ulimwengu baada ya mwaka mmoja kufichwa kwenye tumbo la mama yangu mpendwa.
aigooo miaka 20 ijayo nitakuwa ahjussiiiiiii.
miaka 40 ijayo nitakuwa harabujiiiiiiiii.
nafahamu ya kwamba siku moja jua litazama na kuondoka moja kwa moja ila kwangu mimi upendo kwa wazazi wangu hautaondoka, wamepitia changamoto ngumu sana mpaka kunifanya kufikia umri huu niliofikisha siku ya leo na mpaka leo bado hawajachoshwa na mimi sasa
kwa nini mimi nichoshwe na wao?

saeng il chuk ha ham ni da
saeng il chuk ha ham ni da
sarang ha neun -- Damushin shi
saeng il chuk ha ham ni da
Sunbae-nim, 생일 축하해!
Hongera kwa kutimiza miaka 21. Hihihihihi
 
EMPTY Umeiona Wok Of Love Ya Jang Hyuk??

Utakuwa Umeiona Sema Umeidharau Kama Kawaida Yako,!

Sababu Ilivyoanza Mwanzoni Kama Ya Kitoto Ila Ni Kati ya Drama za kujifunza Sana, Naona Wanaelezea Maisha Kabisa Vijana Tunayokumbana Nayo Na Ata Jinsi Mtu Unavyopitia Majaribu Na Mitihani Ya Dunia. Sema Wameiweka Kitoto Toto Sana.
Jang Hyuk na mie kama pete na chanda.
Hata dramas zake ziweje nasonga hadi mwisho. Mahaba niueee!
 
07/06/1970
heri ya kuzaliwa ahjussiiii
cha seung won
mwanadamu mcheshi kuliko mimi
7224883_160303chaseungwon_jpegde0f35f27bf95ce42ad0ef1b3ec6cd6c
 
Damushin Sunbae, EMPTY na aminas naona mpo mnasongesha gurudumu kama kawaida yake. Wengine tuko mwishoni mwa likizo tuliyo ipata toka kwa raisi wa Korea. Soon nitamaliza likizo yangu na tutakuwa pamoja katika kusongesha hili gurudumu lifike mbali zaidi. Nimebanwa mno aisee haya mambo ukiendekeza unaweza sahau ata lengo la kuwa hapa duniani. Ukutane na drama ya Song Seung Heon hapo ata unaweza sahau mambo muhimu kabisa.. Hivi karibuni tutakuwa wote wapendwa.
 
Leo ndio final episode ya LAWLESS LAWYER DRAMA.
natumai Bong Sang-Pil na Ha Jae-Yi watakuwa na mwisho mwema na pia ha jae yi ataungana na mama yake.
pia natumai mahakama ile ile ambayo alikuwa akiitumia judge Cha Moon-Sook kuwahukumu watenda dhambi pia itakuwa ni sehemu atakayosomewa mashitaka yake ya uhalifu ikiwemo mauaji ya mama yake bong sang pil.
achana na lee joon gi, seo ye ji na mwanamama lee hye young kwangu mimi choi min soo ambaye ameigiza uhusika wa ahn o ju ndie muigizaji bora wa hii drama.
huyu sunbae hajawahi kuniangusha kwenye sanaa ya uigizaji kuanzia warrior baek dong soo, royal gambler (jackpot) pamoja na sword and flower drama.
amenifanya nifikirie kuitafuta drama ya man who dies to live

tumblr_pb625fjj3p1rdcgyxo2_540.gif
 
Back
Top Bottom