Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Tumia dramanice ipo vizuri unadownload kirahisi tena kupitia google. Just kuwa na uc browser kisha google dramanice
mkuu mimi naomba msaada hasa nikipewa torrents link ya kuweza ku-download korean drama kama utakua nayo ntashukuru sana maana napata taabu sana kuangalia online tena youtube..niliwahi kupewa link ila ikawa ni ya kuangalia tu na siyo kupakua ...msada mkuu