Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilo swali lako halina jawabu.
nitakua was mwisho kusena we sio nanihiiiThe constitution states in Article 39, "All citizens shall have the duty of national defense under the conditions as prescribed by Act."
iyo sheria haijaweka kwa ajili ya celebrities peke yao ila ni kwa wanaume wote. Celebrities na wanamichezo wanapaswa kutumikia shughuli za kijeshi kabla hawajatimiza miaka 30 ila wengineo mpaka miaka 35 ndio mwisho.
Na si kwamba wote wanakwenda special force pia vipo vikosi vyengine kama polisi, marine cops, navy wengine wanachaguliwa kwenda huko.
kama una matatizo ya kiafya unaweza kufanya kazi za kijamii kwa mfano lee min ho.
Na kibaya zaidi hujui ni siku gani utatakiwa kutumikia shughuli hizo mpaka pale utakapotumiwa barua kutoka idara kuu ya ulinzi.
unaweza ukalala na asubuhi yake ukakuta amri imeshatoka mwezi ujao uwende jeshini.
na uzuri wa sheria yao haiangalii heshima ulionayo kwenye jamii.
![]()
![]()
![]()
If athletes can dodge military service in South Korea, why can’t pop stars?
miongoni mwa mjadala unaoendelea kwa kasi sana kwenye media ni kuhusiana na sheria hii kuwapa faida wanamichezo pindi pale wanapoiletea heshima taifa wanapewa nafasi ya kutokutumikia jeshini na mfano mdogo tumeona juzi baada ya korea kuchukua medali za ASIAN GAMES wachezaji wamepewa heshima hiyo akiwemo son wa tottenham ambaye kama korea wasingelibeba ubingwa basi alitakiwa aende jeshini kwa miezi 21.
According to a law (link in Korean) enacted in 1973, men who have “raised the national image on a global stage and enriched the culture and sports sectors” are allowed to avoid military conscription.
baadhi ya wachangiaji wanahoji kwa nini nafasi hiyo wapewe wanamichezo tu na si wengineo?
kwa nini waimbaji wa kpop na wao wasipewe nafasi hii wakitolea mfano mafanikio ya BTS kwenye muziki ni makubwa sana kwenye dunia hii.
There are even online petitions (link in Korean) submitted to the presidential Blue House calling for K-pop group BTS—whose album recently topped the US Billboard chart—to be exempt.
![]()
- South Korean government to review military exemption policies after Son Heung-Min’s Asian Games gold
- If athletes can dodge military service in South Korea, why can’t pop stars?
- BTS Returns to No. 1 on Billboard Artist 100 Chart
- Should K-pop go bang? South Korean stars BTS caught in conscription debate
Umeona Eeehh!Huyu MTU anafanana mwandiko Na Damushin
Sijaangalia Nini?ilo swali lako halina jawabu.
usiniambie kufuatilia kwako kote korean drama hujaiangalia .................................
kama niyy azitumie vizuri mods hawachelewi kuziungaUmeona Eeehh!
Niyeye Sema Anazuga Tuuh Apa!
Hahahahahkama niyy azitumie vizuri mods hawachelewi kuziunga
ikiwa moja kati ya haya mawili yaliwahi kukutokezea unaweza kuelezea hisia ulizokabiliana nazo japo kwa kutumia source code?
- hivi kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umechumbiwa na rafiki yako wa kiume ukamkatalia?
- kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umempenda rafiki wa kiume ila yeye akakukataa?
Umeona Eeehh!
Niyeye Sema Anazuga Tuuh Apa!
kumshutumu mtu bila ya kuwa na ushahidi wa kutosha ni makosa.Hahahahah
Labda Pacha Wake!
Hahahahahhahahahahha!kumshutumu mtu bila ya kuwa na ushahidi wa kutosha ni makosa.
halafu si ulisema ni mwanamme?
ndio mumeamua kunifukuza kwenye thread yenu kimazingara?
OK
Hahahahahaha!
Unaanzaje Kuwa Mpinzani?
Unaweza Mfikia Ama?
Sa we Nani?kumshutumu mtu bila ya kuwa na ushahidi wa kutosha ni makosa.
halafu si ulisema ni mwanamme?
ndio mumeamua kunifukuza kwenye thread yenu kimazingara?
OK
Hahahahahhaahah Kondoo Lol!😡😡😡😡😡
- akisema mbuzi mimi nitageuza kibao na kutamka kondoo
- kwa nini siwezi kumfikia, ana maajabu gani?
Jamani nisaidieni ni wapi nitaweza kudownload drama ya Master of the mask? maana kwenye Dramacool naona wanazingu.