Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hebu shusha nondo kwa faida ya wengi.
Mkuu hii mbona wengi wanajua ila mazoea tu ,ni kwamba kwenye Telegram kunakuwa na channels na magroup ya series,movies n.k. Kupitia hizo channels unaweza kudownload movie au series,ungekuwa nayo ningekutumia links za channels.

Screenshot_2018-10-17-00-40-03.png
Screenshot_2018-10-17-00-40-34.png
Screenshot_2018-10-17-00-41-36.png
 
Ningekuwa nayo.!!??? Ni vigezo vipi umetumia kutambua ya kuwa sina?? [emoji23][emoji23] Sema kule zinakuwa na ukubwa mno.
Hapana sio zote tena mie nadownloadia kule kwa sababu ya mb chache na quality nzuri.
 
Devilish joy kamera wanayotumia duh utadhan wanashutia kwa tecno zetu

On going inayonitesa kuisubiria kila mwisho wa week

100days my prince ,another ongoing tamu
 
Wakuu najaribu kudownload some episodes kupitia hii app ya dramania, lakini znacomplete fasta halaf znakuwa na 44kbs au 0 na haziplay
Zipo ambazo nmefanikiwa pia

Tatzo nini hapa au nofanye nini niweze kujipakulia

NAWASILISHA
 
Kama unatumia WI-FI isiyoeleweka huwa inafanya hivyo au mtandao tatizo

Ila kama mtandao upo vizuri huwa inadownload vizuri. Au ifute application kisha vuta upya

Pia unaweza jaribu dramanice,nayo ina korean drama nyingi igoogle yakija matokeo scroll chini mpaka upate website ya dramanice,kisha ingia humo search drama uipendayo ikiwepo itaonekana kama haipo haitaonekana.ila humo episode moja kamili ni kuanzia mb 200.

Shukrani
 
land of war ndio ipi hiyo muheshimiwa the great expander mbona sijawahi kuiona kwenye library yoyote ile?
msaada tafadhali
Studio za kina dJ Mark na Mawakala wao wanayo( The Great King Gwanggaeto) au kwa Studio za Mjukuu Mwana wa Mbambadu yeye kairudia Mwaka huu 2018 kwa jina la ( Land of War) au Master Dj ( King Gwanggaeto the Great)
 
OK nimekuelewa.
kwa mawazo yangu uyo DJ alitakiwa ahakiki kwanza taarifa zake kabla hajaamua kuiweka sokoni project yake aliyoitafsiri ila bahati mbaya ameshindwa kufanya hivyo au pengine amesahau.
Alitakiwa afahamu ya kwamba hiyo project itaangaliwa na jamii ya watu tofauti wakiwemo wafuatiliaji wa korean entertainment na wasiofuatilia hallyu star kwenye mitandao.
Tatizo linakuja pale kwa wasiofuatilia habari za mitandaoni atakuwa amewadanganya kwa kitendo chake cha kuweka maelezo yasiokuwa sahihi kwenye project yake na kusababisha kujipotezea heshima yake kwenye kazi.
Hakuna sehemu yoyote iliyoandikwa ya kwamba land of war ni jina jengine la gwanggaeto drama ndio maana nilikuuliza land of war ndio ipi?
Profile
  • Drama: Gwanggaeto, The Great Conqueror (English title) / King Gwanggaeto the Great (literal title)
  • Revised romanization:Kwanggaeto Taehwang
  • Hangul: 광개토태왕
1540128107894.png
 
Back
Top Bottom