Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

SBS
Congratulations Yoon Shi Yoon on winning Excellence in Acting (Wed-Thurs Drama) for his performance in "Your Honor"! The actor played two characters in the drama
1546266437445.png
 
kazaliwa mwaka mmoja baada ya tanganyika kupata uhuru, mke wake amezaliwa 1969.
wamefunga ndoa 1993.
unapotaja couple yenye kuheshimika nchini korea basi lazima uwataje hao watu.
unapotaja husband role model basi lazima umtaje choi soo jong.
jamaa maisha yake mpaka leo anafanya kazi za ndani.
Ata kwa muonekano Heshima Anayo!

Nahitaji Uyu Hubby Role Model!

Kazi za ndani kivipi!?

Kuna Watu Mola Anawapa Matulizo ya Moyo Hadi Raha.
 
SBS
Congratulations Seo Ji Hye on winning Excellence in Acting (Wed-Thurs Drama) for her performance in "Heart Surgeons"

SHARON BEAUTY
1546266771496.png
 
SBS
Congratulations Yang Se Jong on winning Excellence in Acting (Wed-Thurs Drama) for his performance in "30 but 17"
1546267243177.png
 
KBS
Best Screenwriter Award ameshinda Kim Sa Kyung kupitia MY ONLY ONE
nimependa speech yake : kwa ufupi anasema ya kwamba alianzisha kujifunza maswala ya uandaaji wa drama akiwa na miaka 37 na alipata nafasi ya kuonyesha uwezo wake alipofikisha miaka 42, ina maana mika 6 aliishi bila ya kufikia malengo yake lakini hakukata tamaa
maisha yake ni fundisho tosha kiupande wetu.
kufanya kazi kwa bidii
1546267500132.png
 
kazaliwa mwaka mmoja baada ya tanganyika kupata uhuru, mke wake amezaliwa 1969.
wamefunga ndoa 1993.
unapotaja couple yenye kuheshimika nchini korea basi lazima uwataje hao watu.
unapotaja husband role model basi lazima umtaje choi soo jong.
jamaa maisha yake mpaka leo anafanya kazi za ndani.
Na wamekutana mwaka 87
Miaka 30 yakujuana kwao

Lol! My Ahjussi Uko Wapi!?
 
Na wamekutana mwaka 87
Miaka 30 yakujuana kwao

Lol! My Ahjussi Uko Wapi!?
ahjussii wako yupo ila tu pengine ndio hivyo fate.
vumilia tu na endelea kumuomba Mungu utampata aneyeendana na matarajio yako ya maisha
 
Chae So bin ma Girl kachukue Excellence In Acting

Hongera Zake.

Nmpenda uyu Bint

SBS Awards
 
Back
Top Bottom