Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahahah! Chingu ndio maswali gani tunaulizana?
Hahahaha Siku Kuna Ile Misemo Ya Umeona Mwaka Mpya!? uku Wadar Ndo Tunaulizana Ivyo, Nami Nakuleta Dar Mwaka Umeona Au Umekuona!
 
Happy New Year.

Wasomaji Na Wachangiaji Wa Hii Sledi!

Mola Akatupe Umri Mrefu Zaidi Wenye Hekima, Busara Na Subira Na Upendo Ndani Ya Nafsi Zetu!
Akatueke Karibu Kabisa Na Familia Zetu Tukawe Watu Wakusamehe,Kushukuru Na Kujari Pia InshaAllah..

Amiin.

Na Bila Kushau Akatujibie Maombi Yetu Kwa Mwaka Huu Mwengine...Amiin.
 
Heheheeheheehehehheheheeheheh!!!!
Ndio majukumu unayoyajua wewe hayo?
Ndo Nayoona Yalazima Sana kwani Ukicheka Hawatakula, Ukinuna na Kukaza Mwaka Wao Mpya kama Huu Unawapaisha tuh! Kwenye kona Za Dunia.

Kama peke Yako Ata Ukilala Na Njaa Aitakuumiza Sababu Unajielewa.
Mtoto Haezi Elewa.
 
Umenena vema, chingu.
 
thanks noona, ngoja niwahi kukutakia kheri ya mwaka mpya kwa saa za kwetu korea.
unajua nilifikiri zile suggestion zilikuwa ni utumbo kwako wewe kwa sababu tangu nilipoziweka sijaona hata quote(nukuu) kutoka kwako, na ugonjwa wangu mkubwa siku hizi kama mtu hajafanikiwa kunukuu comment yangu haijalishi kwa njia ya matusi, au akashindwa kunipa hata like basi najihisi nimeandika upumbavu.
kumbe ulikuwa unapitia kimya kimya
mian hae
Tanzania tunawahitaji viongozi wenye maono kama ya Ryu Seong ryong.

Aigooooo, mbona like nilikupa?

Sikuweza kujibu wakati ule maana ningejibu nini? Umenipa suggestions ilibidi niangalie kwanza ndio nije na feedback kama hivi.

Nilianza kuangalia ile ya yule Dr kupitia link ya drama cool uliyoiweka mwishoni mwa ile post ila ilikuwa balaa, nimekutana na matangazo ya ajabu sipati kusema.
Nikaachia kwenye ep ya 3.

Baadae nikaanza Yi San na Jing Bi Rock kwa pamoja, Jing Bi Rock ikanivutia zaidi ndio naimalizia kisha nikaendelee na Yi San ambayo ni ndefuuuu! Uwiiiiiiii ep 70 sijui nitamaliza nini.

Kilichonifurahisha kwa Yi San imekuwa directed na director ninayemkubali aliyedirect drama zangu pendwa The Great Jang Geum na Dong Yi.

Site za kuangalia hizi mambo zetu kwangu zinamata sana, kama sio Kiss Assian siwezi kabisa, napata taabu mnooo.
Hurray KissAsian [emoji119][emoji2535][emoji119][emoji2535][emoji1787][emoji1787]

Hivi huyu King Seonjo ambaye nimemsoma kama the best king huko Korea mbona kwenye hii drama naona tofauti? King gani hapambani yuko busy kuflee kila uchwao?
Seriously ananikera mnooo!
Au atabadilika baadae nini? Maana niko ep ya 29

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kissasian unaangalia online?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom