talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Hahaha kwakweli wenye wivu watuacheehuyu ahjumma atakuwa wa kwanza kwenye list yangu napenda sana tabia zake, leo rafiki kesho adui.
- wapenda majivuno inawahusu hii drama (Han Seo-Jin)
- wapenda kusoma kwa kuhofia bila ya kuwa na elimu kubwa basi mafanikio yako yatakuwa madogo inawahusu hii drama (Kang Ye-Suh + cha min hyuk + han seo jin)
- wale wazazi wanaolazimisha watoto wao wasome fani wanazopendelea wao inawahusu hii drama (han seo jin + Cha Min-Hyuk)
- wale wazazi wasiopendelea kuona wenza wao wakiwa na kauli kubwa za kimaamuzi ndani ya familia inawahusu hii drama.(Seung-Hye)
- wale ambao hupendelea kupanda juu kimafanikio kwa kutegemea mgongo wa wenzao inawahusu hii drama (kang joon sang )
- wale wasiofungamana na upande wowote inawahusu hii drama (wazee wa sometime yes and sometime no) kama namuona ahjumma wangu (jin jin hee)
- ongeza na zako talnam ili wenye wivu na SKY CASTLE wazidi kupasuka kama mabofu.
🙂🙂🙂
jin jin babyyyyyy
View attachment 997562
8. Wazazi wasotaka kukubali uhalisia wa matatizo ya watoto wao (coach Kim)
9. Watoto wenye uthubutu wa kumsema mzazi mpaka akajiona sio timamu lol ( se ri yeh bin, seo Joon)
10. Wapenda kutumikishwa bill hata kujali kuwa utu wao unapotezwa (Dr. Woo, Driver joo).
Naipenda Sana hi drama wacha rate ziendelee kupanda inastahili mwanzo sikuelewa kabisa, nlikua naona watu wengi lol
Sent using Jamii Forums mobile app