"If you leave this town you won't have kids. That is what the fortune teller told me."
mama alipoona mtoto wake safari ya seoul imeshamtia wazimu akaamua kuziblock credit card zote [emoji857][emoji857][emoji857], seo bo geo anafika seoul hana hela wala sehemu ya kukaa (wazee wengine vichwa ngumu kuliko jiwe la msingi)
nimependa uhusika wa kijana Seo Bo-Geor licha ya kuwa ni trouble maker lakini muda wote anaonekanwa kumjali sana bosi wake auditor noh dae ho hususan anapokutana na changamoto kubwa zinazoweza kuhatarisha maisha yake.
president Kang Sam-Do ni mwanadamu mmoja hatari sana kuliko mbwa mwitu aliye mawindoni, mpaka sasa sijajua dhumuni lake la kumleta noh dae ho makao makuu haliyakuwa anafahamu fika jamaa ni mwenye msimamo na asiyeogopa chochote haijalishi msosi wake ni mwili wa bosi.
jaribu kuangalia counter plan aliyokuja nayo kwa kumrudisha Lee Hae-Gon awe kama ni vice president wakati mwanzoni jamaa aliondoshwa ndani ya benki na kuishia kufanya kazi subsidiary company zilizochini ya daehan.
dah! vice president Yook Gwan alijipa matumaini makubwa sana ya kwamba anakwenda kumuondoa madarakani raisi wa benki kupitia kura wajumbe wa mkutano mkuu pamoja na nguvu aliyokuwa akipewa na viongozi wa serikali lakini cha ajabu ngoma imegeuka kwake, Yook Gwan anafahamu fika ya kwamba rais ndiye muhusika mkuu wa sakata la seomin agency lakini ameshindwa kumpa siri bwana Assad.
unawezaje kutoa siri haliyakuwa watoto wako wawili wameshapandishwa cheo ghafla baada ya wewe kufukuzwa kazi?
shikamoo president Kang Sam-Do.
naisubiria vita kati ya mbwa mwitu kang sam do dhidi ya simba wetu noh dae ho
View attachment 1066378
uyo aliyevaa mavazi meupe mwenye jinsia ya kipekee ndie wa kwangu mimi na hao waliobakia chukua wewe wote kama sheria zinakuruhusu, kama sheria haziruhusu unaweza kuwagawa kwa wengineo wenye mahitaji humu ndani.
when you first become a banker, a good bankers mission is to be honesty and trustworthy that what we all learn, but once your sense of duty goes sour and your beliefs falter we must make a choice, whether that choice was right can be proven by honorable retirement thats why us bankers should never seize to question ourselves.
am I a good banker?
(auditor noh dae ho)
fedha, fedha, fedha imekuwa muhimu kuliko ...............................................