Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Geeeez! Hivi kweli Damushin hujaniambia kama Kim Nam Gil ana project mpya mpaka inataka kuisha jamani? Yani na kulia kote alivyokwenda jeshini? [emoji24][emoji24][emoji24]
Sijui nimekuwaje? Hili ni kosa kubwa kukosa drama ya Bidam bae...
Tena na hivi Oppa Song anazingua itabidi nimfanyie ‘sub’ na Bidam, no way.
Ngoja nimalize The Great Seer niianze hii fasterrrr, Sambong isubiri kwanza.
Bidam first [emoji4]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Inaitwa hiyo project ya bidam, maana nataka nianze kasi baada ya mpumziko niliyokuwa nimejipa.
Naomba unipashe Sasa baadaye nikaupakue.
Kwahiy sasa ni mwendo wa 3
1. Sambong Project
2 the Great king Sejong project
3 na hiyo ya Bidam Rang.............
 
Halafu hii thread ina nini?! Maana nishaanza kuwa mlevi sasa, wa humu kila nipatapo nafasi lazima nizame humu.
Jamani baadae wacha nikaiendeleze sambong project, maana nikisema nitazame The Great King Sejong nitalala saa saba na nusu sababu ni ndefu mno.
hii laana ya thread hata mimi pia inaendelea kuniandama na kila ninapojaribu kuitelekeza huwa nashindwa, baadhi ya nyakati naweza kutafuta kisingizio chochote ili nisiweze kutembelea humu ndani lakini wapiiii naishia kuchukua wiki moja hadi mbili then narudi uchawini.

baadhi ya nyakati nikiwa likizoni nakutana na notification za wadau mbali mbali hivyo basi nashindwa kuwapuuzia,
baadhi ya nyakati naandika then nafuta, comment zangu nyingi za mwanzoni nimeshazifuta.

kali zaidi kuna siku nilikwishafikia maamuzi ya kuwablock baadhi ya wadau muhimu wanaotembelea hii thread, niliamini kufanya hivyo kutaniwezesha kutokuwa na mawazo ya kutembelea humu ndani, nikatafakari nikaona yatakuwa ni maamuzi ya kipumbavu zaidi ulimwenguni.

nilichojifunza ya kwamba ili niweze kuachana rasmi na ulimwengu wa korea ni lazima nipate starehe nyengine itakayoniburudisha zaidi, bahati mbaya kwa sasa sijakutana na starehe pendwa kama hiyo.

hivyo basi mkuu endelea kuwa mlevi wa hii thread mpaka mapafu yako yaharibike au peleka malalamiko JF uzi huu usiwe pinned.
 
Geeeez! Hivi kweli Damushin hujaniambia kama Kim Nam Gil ana project mpya mpaka inataka kuisha jamani? Yani na kulia kote alivyokwenda jeshini? [emoji24][emoji24][emoji24]
Sijui nimekuwaje? Hili ni kosa kubwa kukosa drama ya Bidam bae...
Tena na hivi Oppa Song anazingua itabidi nimfanyie ‘sub’ na Bidam, no way.

Ngoja nimalize The Great Seer niianze hii fasterrrr, Sambong isubiri kwanza.
Bidam first [emoji4]

Sent from my iPhone using JamiiForums
dah leo umeamua kunibebesha mzigo wa lawama kwa asilimia hamsini kwa sababu nakumbuka nilishawahi kuandika stori za hii drama kwa zaidi ya mara mbili.
labda itakuwa umeshindwa kuziona post kwa sababu ya utoro 😛😛🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️.
halafu ninaufahamu msimamo wako kuhusiana na going on drama ndio maana nimeshindwa kukulazimisha uitafute hii project.
inafanya vizuri sana kwa drama zinazoonyeshwa siku ya ijumaa, jumamosi na kwa mujibu wa takwimu wiki iliopita imeangaliwa nchini korea kwa asilimia 18.

kim nam gil amekutana na wajinga wenzake ni full vituko
 
Inaitwa hiyo project ya bidam, maana nataka nianze kasi baada ya mpumziko niliyokuwa nimejipa.
Naomba unipashe Sasa baadaye nikaupakue.
Kwahiy sasa ni mwendo wa 3
1. Sambong Project
2 the Great king Sejong project
3 na hiyo ya Bidam Rang.............

Inaitwa Fiery Priest drama, angalia hiyo post niliyoquote imeelezewa vizuri tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
dah leo umeamua kunibebesha mzigo wa lawama kwa asilimia hamsini kwa sababu nakumbuka nilishawahi kuandika stori za hii drama kwa zaidi ya mara mbili.
labda itakuwa umeshindwa kuziona post kwa sababu ya utoro 😛😛[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️.
halafu ninaufahamu msimamo wako kuhusiana na going on drama ndio maana nimeshindwa kukulazimisha uitafute hii project.
inafanya vizuri sana kwa drama zinazoonyeshwa siku ya ijumaa, jumamosi na kwa mujibu wa takwimu wiki iliopita imeangaliwa nchini korea kwa asilimia 18.

kim nam gil amekutana na wajinga wenzake ni full vituko

Leo naomba kutengua kauli ya ongoing drama, imenifanya mpaka nimekosa drama ya Bidam bae [emoji24][emoji24]
Ila kiasi fulani nahisi kama imekuwa ahueni pia maana kwa jinsi nilivyommiss huyo mtu ningekuwa teja.

Ngoja nimalizane na hii Great Seer niianze hiyo, japo sipendi mambo ya udinidini ila sina namna, kwa Bidam lazima niangalie tu labda aigize ushoga.
Kweli, wakati ule nilikuwa busy kiasi nilichukua likizo ya humu na drama pia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Queen Seon Duk: Aisee we acha tu, yule binti alie mzalisha mtoto wa pili mke wa mfalme, binti anakipaji sijapata kuona. Binti amenifurahisha na kunikonga nyoyo yangu vile ipasavyo. Vile vituko vyake aisee nacheka mpaka basi tu.

MGC
Bro uko njema!
 
hizi skendo zinazoibuliwa mara kwa mara nchini korea dhidi ya celebrities zinanifanya niogope kutoa hukumu kwa mzee wetu Assad lakini hata mimi nina imani mzee wetu ni mwenye matendo mema akiwa mbele ya camera na nyuma ya camera.
hivi uliwahi kudhani kama huyu mzee marehemu jo min ki atakuwa na tabia chafu?
kampeni ya me too ilipelekea mpaka ajitoe uhai wake
unaweza kukuta hata muandikaji wa hii comment ni shetani aliyevuka mipaka.
Huyu ajussi jamani hadi leo naumia aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1066403huyu mzee katika muvi zote alizocheza akanikosha zaaidi ni kwenye Emperor of the Sea, kiukweli alikuwa ananikosha jinsi alivyokuwa anajua kuchangamkia fursa, but hata kichina chake kilinikosha alivyokuwa anaongea.
Kwenye Dong Yi sikumfaidi sana sababu alikufa mapeeeema kabisa mwa Tamthilia hiyo, na haielewekialikuwa mzuri or mbaya. But hizo zilizobakia huyu mzee ni Kauzu kweli kweli.

Hivi yule jamaa aliyecheza kwenye the Great King kama Genera FengBa hivi kuna tamthilia yoyote amewahi kucheza ni mwema?!View attachment 1066403
Haha kwenye emperor of the sea alikuwa na bonge la paraa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii laana ya thread hata mimi pia inaendelea kuniandama na kila ninapojaribu kuitelekeza huwa nashindwa, baadhi ya nyakati naweza kutafuta kisingizio chochote ili nisiweze kutembelea humu ndani lakini wapiiii naishia kuchukua wiki moja hadi mbili then narudi uchawini.

baadhi ya nyakati nikiwa likizoni nakutana na notification za wadau mbali mbali hivyo basi nashindwa kuwapuuzia,
baadhi ya nyakati naandika then nafuta, comment zangu nyingi za mwanzoni nimeshazifuta.

kali zaidi kuna siku nilikwishafikia maamuzi ya kuwablock baadhi ya wadau muhimu wanaotembelea hii thread, niliamini kufanya hivyo kutaniwezesha kutokuwa na mawazo ya kutembelea humu ndani, nikatafakari nikaona yatakuwa ni maamuzi ya kipumbavu zaidi ulimwenguni.

nilichojifunza ya kwamba ili niweze kuachana rasmi na ulimwengu wa korea ni lazima nipate starehe nyengine itakayoniburudisha zaidi, bahati mbaya kwa sasa sijakutana na starehe pendwa kama hiyo.

hivyo basi mkuu endelea kuwa mlevi wa hii thread mpaka mapafu yako yaharibike au peleka malalamiko JF uzi huu usiwe pinned.
I hope mimi hukuniblock maana nitakufungulia mashtaka kama ulifanya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] nimemaliza The Great Queen Seondeok, umeshindwa na roho yako mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
umeamua kunionea dada yangu, hivi aliyekwambia uangalie drama ndefu kama ukuta wa trump nani?
mwenzako ninapokuwa na ratiba ya kudownload drama nakesha usiku kama askari anayelinda nyumba ya kiongozi
 
yes alikuwa anawatishia, jasusi uchwara naona umerudi kazini usiku huu.
nimeanza kukuogopa

Kwa sisi tuliopitwa tafadhali tuelezee japo kiduchu kuwa alikuwa anawadhalilisha vipi na mifano michache kama ipo.
Nimehangaika kufuatilia lakini naona habari ya kujiua kwake ndio imefunika tuhuma.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamani jamani hii The Banker kiboko! Episode za jana (9&10) zimenitoa jasho. Hapa nazisubiri za leo zaidi ya mfanyakazi anavyosubiri mshahara, lol.

Damushin mbona naona kama President Kang Sam Do sio mtu mbaya? Naona kama ni mzalendo anayeipenda bank yao ndio maana amekuwa mnoko wa kufuatilia kila jambo. Ila sijaelewa pale alipompunguzia majukumu vice president kimafia na kumuweka yule mama lengo lake lilikuwa nini? Au ndio kama vile ulisema anamtafutia sababu ya kumfukuza? Maana kwa sekeseke lile alilolianzisha Director Noh naona kabisa kazi hana.

Kwenye ule mkutano wa wakuu wa mabenki yule aliyeitisha mkutano alikuwa anambana President Kang kwa swali ambalo lilikuwa na maana tofauti, naona President kalipangua kwa akili ila yule aliyemuuliza lile swali alikuwa na maana gani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamani jamani hii The Banker kiboko! Episode za jana (9&10) zimenitoa jasho. Hapa nazisubiri za leo zaidi ya mfanyakazi anavyosubiri mshahara, lol.
dah! nimeihifadhi tokea jana usiku ilipowekwa kwenye mitandao lakini sijabahatika kuiangalia mpaka muda huu, nimedhamiria niziangalie episode zote mbili kwa pamoja labda kesho usiku inshaallah.

wiki hii tokea ilipoanza nimekuwa mvivu wa kuangalia drama lakini nimeendelea kuwa bingwa wa kukesha usiku kama popo kwa dhumuni la kuzihifadhi episode.

nje ya mada:
hii nadharia ya reincarnation ina ukweli wowote?
kumalizika kwa misty drama (2018) nimeamua kuitafuta chicago typewriter drama (2017)
 
Back
Top Bottom