Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeon gaesomun alikuwa niSura yake kazi muda wote nilikuwa nampendaje
vagabond haifanani kabisa na drama nyengine za koreaMy Seung Gi Karudi Vizuri VAGABOND.
Wapenzi wa arthdal chronicles wakorea walichotufanyia sijapenda kabisa[emoji51][emoji51]
Mkuu naomba link yake maana hujawahi niangusha vitu unavyonipaga huwa vinahatarisha kibarua changu .......maana na sahau hadi kazi??!kipindi naanza kuiangalia age of warriors jambo la kwanza nililolifanya ni kusoma kidogo historia za hao wahuni basi kuna mjinga fulani historia yake sikuipitia hata kidogo.
si unajua tena mapenzi ni upofu basi kadri nilivyokuwa naiangalia hiyo project muhuni huyo nikatokezewa kuvutiwa naye kwa sababu alianzia maisha ya chini kabisa ya kijeshi mpaka kufikia kuwa general mkubwa sana.
anaitwa yi ui min.ametokea maeneo ya shilla ya zamani lakini kwa mujibu wa drama, kuna wajinga fulani kutoka shilla wanamtia ujinga kwa kumpa heshima ya dragon atakayeiangusha koo ya wang ilioasisiwa na wang guhn.
nilipotembelea kwenye mitandao na kufanikiwa kuisoma historia kiukweli amenifanya nichukie kuiendeleza tena hiyo drama kwa wiki ya nne mfululizo.
kwa mujibu wa historia baada ya kumiliki nguvu kama walivyofanya wenzake na yeye aliendeleza ubabe na udhalilishaji zaidi ya ule waliofanya wababe wengineo na koo zao.
alifika nyakati akawa anawalazimisha kingono wanawake bila ya kuiangalia heshima zao kwenye jamii.
alikuwa na watoto wawili walikuwa watemi vibaya sana.
alinyang'anya ardhi na mali za watu n.k
nimekosa hamu ya kuiendeleza tena age of warriors.
nimeishia episode ya 95.
uyo bwege ni mwendo wa kutembea na shoka kubwa muda wote, muwekee kichwa chako kama hatokifanya kuni za kupikia.
nasisitiza tena humo ndani hamuna handsome boyiii
View attachment 1215798
Kweli kabisa mkuu ila mimi kwa mtazamo wangu ni shujaa wa Goguryeoyeon gaesomun alikuwa ni
historia ya bwana yeon gaesomun itaendelea kuleta mgawanyiko wa kifikra mpaka ulimwengu utakapokwisha
- shujaa wa goguryeo
- dikteta wa goguryeo
Hiyo itakuwa kama drama ya Trap.vagabond haifanani kabisa na drama nyengine za korea
hamuna muda wa kuchekeana ovyo kama tupo harusini.
drama imeanza tushafahamu dhumuni kuu kama tunaangalia movie
Majibu yote ni sahihi maana falme nyingi sana ziliogopa ziliposikia jina la jenerali huyu, na alifanikiwa kushinda vita zote zidi ya maadui lakini kwa upande mwingine huyu jenerali alikuwa na tamaa na madarakayeon gaesomun alikuwa ni
historia ya bwana yeon gaesomun itaendelea kuleta mgawanyiko wa kifikra mpaka ulimwengu utakapokwisha
- shujaa wa goguryeo
- dikteta wa goguryeo
Mkuu naomba link yake maana hujawahi niangusha vitu unavyonipaga huwa vinahatarisha kibarua changu .......maana na sahau hadi kazi??!
Thank you mkuu.much blessing to you!!unywaji pombe kupita kiasi ni faida kwa muuzaji na serikali
- https://www6.dramanice.movie/age-of-warriors/watch-age-of-warriors-episode-1-online
- https://www6.dramanice.movie/age-of-warriors/watch-age-of-warriors-episode-158-online final episode
Flower Crew: Joseon Marriage Agency drama episode za wiki iliopita niliziangalia lakini za wiki hii nimeamua kuzipotezea.
nitakapohitaji kuwachumbia mrs X and Y from kolomijee and chato itanibidi niwatafute vishambenga vinitongozee kama wanavyofanya wanaume watatu humo ndani.
View attachment 1215806
hii ndio drama pekee maishani mwangu niliowahi kuiangalia episode mbili za mwanzo bila ya kumfahamu muigizaji mkuu.
teh teh teh
kama hamuni amini naomba muiangalie
tovuti inazingua?Nasubiria iishe nianze kuangalia maana rookie historian inanitesa hapa
tovuti inazingua?
Kwa jinsi ilivyoishia season2 lazima maana mambo mengi hatujajua hatma yake.tagon baada ya kupewa habari za kuwa na mtoto zitamfanya apunguze mapenzi kwa saya na hapo balaa ndipo litakapoanza.
kwa mujibu wa hadithi inaishingi hajawahi kuzidiwa na aramun haesulla ndio maana viongozi wa arthdal walikuwa wanawatengenezea migogoro ya wenyewe kwa wenyewe makabila ya AGO ili wasiwe pamoja.
inaishingi vs aramun haesulla
dah! tusubirie season 2 kama itakuja kweli.
mkuu maneno hayo kama utayatamka mbele ya kaburi la wang guhn nakuhakikishia marehemu atafufuka kwa jinsi alivyojaa hasira.
teh teh hayo maswali yako itabidi uyawasilishe kwa mwanamama kim young hyun ambaye ndiye muandishi wa hii drama.2. Kama eunsom ndio inaishingi aliwezaje kumuendesha yule farasi wa aramun
Kwa jinsi ilivyoishia season2 lazima maana mambo mengi hatujajua hatma yake.
1. Yule farasi wa aramun haesula ameishia wap
2. Kama eunsom ndio inaishingi aliwezaje kumuendesha yule farasi wa aramun
Yani km ndio imeisha wamebugi kweli
Ahahah nimependa misimamo yake alikuwa hateterekimkuu maneno hayo kama utayatamka mbele ya kaburi la wang guhn nakuhakikishia marehemu atafufuka kwa jinsi alivyojaa hasira.
sambong ndiye aliyeiangusha tawala ya goryeo kwa kushirikiana na yi seong ye halafu unamwita shujaa.