Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yan Stuntman anawasumbua professional killer ni hatat...ila korean now wanaweka Netflix... Na sijui kwann hawafuati ile taaratibu ya Netflix kushusha mzigo wote..kwa siku moja...pia ni njia nzur kuliwin sokoVAGABOND ni funga mwaka sijui kwanini wanatoa episode moja moja hapa ndo wananiboa.
we bwege kutoka kolomijee ukisikia age of warriors ndio hiyo, hapo ni mwendo wa kutuonyesha mtiririko wa matukio yote ya dikteta mmoja moja kubeba madaraka, cha kuvutia anajitokeza dikteta mwengine anayejificha kwenye mwamvuli wa kuwapigania raia haki zao na kuanzisha harakati za kumpindua mwenzake, kichekesho zaidi akishafanikiwa kumuangusha mwenzake na yeye anakuja kuyatekeleza zaidi ya yale aliyoyafanya mwenzake.Ndiyo kwanza nipo sehemu ya 3.
Hawa wahuni ndiyo mastelingi wetu?!
"AGE OF WARRIORS"
Ila Hisia zangu zinanisukuma kama huyu Ui Bang na washkaji zake ndiyo mastelingi.
Kwako Daemusin
ok, kumbe nilikuelewa vibaya.Ahsante mkuu kwa masahihisho.
Nilidhani ndugu muuliza swali alihitaji ushiriki mwingine wa Yeong-po, yule wa kwenye Prince of Legend (Jumong) ama kwa jina lake halisi la Won Ki-jun ambaye ameshiriki pia katika hiyo Gu Am Heo Joon 'Remake' ya mwaka 2013. Ila kama ni mzee Jeong Gwang-leol, Yeah! upo sahihi kuwa ameigiza 'Orijino' Gu Am Heo Joon ama Heo Joon ya mwaka 1999.
ni sawa netflix wana haki miliki ya kuonyesha vagabond drama online, lakini SBS ndio wamiliki wakuu wa hiyo project na kwa mujibu wa ratiba zao wanaionyesha vagabond kwa siku ya ijumaa na jumamosi usiku kwa saa za korea.yan Stuntman anawasumbua professional killer ni hatat...ila korean now wanaweka Netflix... Na sijui kwann hawafuati ile taaratibu ya Netflix kushusha mzigo wote..kwa siku moja...pia ni njia nzur kuliwin soko
Duh! kukutajia Comedies 5 nzuri ndani ya kipindi hicho kifupi cha 2018/2019 ni 'Limited' kimtindo maana nzuri nyingi zipo ila katika miaka tofauti tofauti kuendana na mitazamo ya kila mdau katika tasnia.
Mfano, kuna hiyo uliyoitaja hapo, 'Come Back Mister' ni Comedy nzuri sana ila ni ya mwaka 2016. Pia kuna 'Kill Me Heal Me' ya mwaka 2015 ambayo pia ni moja ya Comedies nzuri "kwa maoni yangu".
Nyinginezo ni;
Na kuna nyingine ya kitambo kidogo, 'Master's Sun' ya mwaka 2013.
- Legend Of The Blue Sea (2016-2017)
- Suspicious Partner (2017)
- Introverted Boss (My Shy Boss) (2017)
- Welcome To Waikiki (2018)
- Strong Woman Do Bong Soon (2017)
- I'm Not A Robot (2017-2018)
en.wikipedia.org
mwenye account hii hatokuwepo kwa muda ndani ya JF.
kampeni yangu ya kupunguza ulevi wa korean drama imeshika kasi zaidi, nimefunga vitabu vyangu vyote vya drama.
nakwenda likizo nikiwa nimeziacha drama zifuatazo.
- vagabond drama: nimeishia ep 2.
- when the camellia blooms: nimeishia ep 2.
- graceful family :nimeishia ep 10.
aliyepewa kapewa naapa hapokonyeki,
kwa alichojaaliwa wallahi hapunguziki,
wa tisa humpa tisa wa moja haongezeki,
alomyima kabisa pindi akitaharuki
mola mtoa hidaya yote kayamiliki
kwake ukiliya ng'o unajipatisha dhiki,
kwa aliemtunukia ndio yake haki
na asiye mtakia huwa si yake laini (foleni)
wewe ukifanya chuki
bure unajisumbua
dah nimekumbuka taarab asilia za nyumbani kwetu.
wewe endelea kumchukia daemusin bin makinikiyya bin vipigo kwa mashangazi zenu bin msamaha wa raisi bila ya sababu ya msingi kama mlevi anavyomchukia mzinifu cha ajabu wote wanahonga fedha zao kwa njia tofauti.
ANYEONG.
huu wimbo ni dedication kwa mlevi mwenzangu zaidi, wapo walevi wengi humu ndani wa jinsia tofauti lakini mmoja tunaelekea kuendana haijalishi anapenda mikia FC na jogoo wa chato asiye na kizazi cha premier league
kim bum soo - bogoshipda (i miss you)
Stairway to Heaven (2003) drama ost
hivi kwa kiswahili ukitaka kumwambia mwenza wako i miss you unatamka vipi jamani.
nimekukosa
nimekumisi = kiswanglish
mimi kukukosa wewe.
pumbavu zetu hii lugha ni dhaifu kama bunge la Tanzania na muhimili wa mahakama.
mwenye account hii hatokuwepo kwa muda ndani ya JF.
kampeni yangu ya kupunguza ulevi wa korean drama imeshika kasi zaidi, nimefunga vitabu vyangu vyote vya drama.
nakwenda likizo nikiwa nimeziacha drama zifuatazo.
- vagabond drama: nimeishia ep 2.
- when the camellia blooms: nimeishia ep 2.
- graceful family :nimeishia ep 10.
aliyepewa kapewa naapa hapokonyeki,
kwa alichojaaliwa wallahi hapunguziki,
wa tisa humpa tisa wa moja haongezeki,
alomyima kabisa pindi akitaharuki
mola mtoa hidaya yote kayamiliki
kwake ukiliya ng'o unajipatisha dhiki,
kwa aliemtunukia ndio yake haki
na asiye mtakia huwa si yake laini (foleni)
wewe ukifanya chuki
bure unajisumbua
dah nimekumbuka taarab asilia za nyumbani kwetu.
wewe endelea kumchukia daemusin bin makinikiyya bin vipigo kwa mashangazi zenu bin msamaha wa raisi bila ya sababu ya msingi kama mlevi anavyomchukia mzinifu cha ajabu wote wanahonga fedha zao kwa njia tofauti.
ANYEONG.
huu wimbo ni dedication kwa mlevi mwenzangu zaidi, wapo walevi wengi humu ndani wa jinsia tofauti lakini mmoja tunaelekea kuendana haijalishi anapenda mikia FC na jogoo wa chato asiye na kizazi cha premier league
kim bum soo - bogoshipda (i miss you)
Stairway to Heaven (2003) drama ost
hivi kwa kiswahili ukitaka kumwambia mwenza wako i miss you unatamka vipi jamani.
nimekukosa
nimekumisi = kiswanglish
mimi kukukosa wewe.
pumbavu zetu hii lugha ni dhaifu kama bunge la Tanzania na muhimili wa mahakama.
aliyenisukuma kwa nguvu za ajabu hadi kwenye thread hii kwa siku ya leo ni mwanadamu anayeitwa song il kook / gook / kuk / guk/ song 1958
tarehe kama ya leo mnamo mwaka 1971 ndio siku aliyotoka ndani ya kiwiliwili cha mwanamama mtemi anayeitwa kim eul dong ambaye ni muigizaji wa zamani na pia ni mwanasiasa aliyeshindwa kurudi mjengoni kwa mara nyengine
mjukuu wa mbabe kim du han ambaye pia aliwahi kuwa mwanasiasa anayewawakilisha wananchi mjengoni kama ilivyokuwa kwa mwanawe kim eul dong.
![]()
Kim Du-han - Wikipedia
en.wikipedia.org
kitukuu cha shujaa anayeitwa kim jwa jin a.k.a tajiri wa mali na tabia njema asiyesahaulika ndani ya ardhi ya korea, mpaka manowari za kijeshi zimepewa jina lake, mwanadamu wa mwanzo kuwanusisha harufu ya ushindi wakorea dhidi ya japani.
.![]()
Kim Chwa-chin - Wikipedia
en.wikipedia.org
song il kook amenifanya niwe mlevi wa korean drama, song il kook ndiye muigizaji pekee mwenye sura zaidi ya 100 na
kama yupo mwengine naomba munitajie.
maisha ni kama mbio ndefu, unaweza kuachwa nyuma na wenzako kwa hatua ndefu sana lakini hupaswi kukata tamaa, ndivyo yalivyokuwa maisha yangu kwa sababu nimewashuhudia watu wengi wakinipita kimafanikio na wengine kunidhihaki lakini sikuwahi kukata tamaa.
(maneno ya song il kook alipomaliza mbio za triathlon kwa msaada wa wanawe watatu miaka minne iliopita)
happy birthday ahjussi kwa kutimiza miaka 48 ya kimagharibi.
bodyguard drama.
jumong drama
lobbyist drama
a man called god drama
jang yeong sil drama
kingdom of the wind drama
fermentation family drama
album of life drama
jang hee bin 2002 drama
emperor of the sea drama
terms of endearment drama
detective in trouble drama.
dada yangu Nifah bado umeendelea kubaki na msimamo wako wa kusubiria mtoto mchanga adondoshe mguu wake upate kuutafuna kama simulizi za fisi?
unaonaje ukamtafuta mwengine kabla hujachelewa.
samahani kwa kukuita uchawini 😀😀😀
VAGABOND ndo nimeielewa kuliko zote hapo.My Country - Moto 🔥
Vagabond - Fire
The Tale of Nokdu - Fire
Melting Me Softly - Fire
Extraordinary You - 🔥
Zote Izo Ni Ongoing. Ndo List Yangu Kwa Sasa.
Nakuja tuhadithianeWapenzi wa ongoing Melting Me Softly imeanza vyema[emoji4]
Icheki Na My Country Utojutia Bando Lako Iko Episode ya 2 ila Ni Moto Wa ⛽️.VAGABOND ndo nimeielewa kuliko zote hapo.
My country inahusiana na Nini nipe kidogo story yakeIcheki Na My Country Utojutia Bando Lako Iko Episode ya 2 ila Ni Moto Wa ⛽.
Ata Tale of Nokdu Nayo Ni Nzuri, Izo Mbili za Chini ni Comedy Comedy Tu.