Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Zifuatazo ni List ya Drama nilizozitazama mwaka huu;

Yi San( Wind OF the Palace)
Great Dae Jang Geum( Jewel In the Palace)
Emperor Of the Sea
Joseon Gunman
Princess Jamyung Go

(Kiporo 2012)
Great King Sejong
Joeng Do Jeon
Memoir Of Imjin War( JingBirog)
Empress Chun Chu

(Kiporo 2011)
Age Of WARRIORS
( Pending)
Soldier - God of War(The Military Official)
(Kiporo 2012)
Jang Yeong Sil
Emperor Wang Gun
( Inaendelea...)
Hwarang Poet Youth
(Inaendelea...)
King Geuchoggo
(Kiporo 2012)
Kabla ya mwisho mwezi huu lazima nianze Drama nyingine. Kasi yangu mnaionaje??, Mapendekezo ya Drama nyingine pia naomba.
Kati ya Hizo zote Great Dae Jang Geum( Jewel In the Palace), ndio iliyonivutia zaidi.
Mamma mia
umeangalia drama 15 kwa miezi 12 lakini ni sawa sawa na kuangalia drama 30 - 40 kwa miezi hiyo 12.
 
Bado sijaichek, vp ni kal?

地那天刚才妇产科☆
Ni kali kuliko 'jua la utosi'.

Nisiongeze chumvi, Ila ni vizuri nawe ukaitazama mwenyewe.

Huko utakutana na mtu mmoja kipindi hicho cha Joseon aitwaye Hong Gil Dong.

Mwizi maarufu wa kuiba mali za matajiri na kuwapatia masikini ama wengine wana msemo wao wa kuwaita "wanyonge".
 
happy 18th Debut anniversary to seo hyun jin...
episode 1 ya black dog nimeiangalia mchana wa leo, natumai bidada ataifurahia kazi yake ya uwalimu licha ya changamoto kubwa alioanza kukumbana nayo siku yake ya kwanza kuhudhuria ofisini.

nepotism ni ugonjwa mbaya sana unaopaswa kupingwa kwa nguvu zote na jamii husika....
1576612914045.png
 
Back
Top Bottom