Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kabla hujalala nakupa mtihani mdogo aminas....
nina gb 3 hapa nilipo naomba unitajie drama yoyote utakayoipenda wewe lakini iwe ya miaka iliopita......
 
Hakuna Anachosema Saeri Akakikubali Ye Muda Wote Anampingia Na Kubishana Nae tu.

Anamsema Mwenzie Anamaliza Vitu Vya Boss Wake Mbona Ye Zile Shampoo Kakataa Kurudisha.
lakini mbona baadae alitoa wazo zuri sana la kumsaidia hyun bin aongezewe cheo jeshini...
si unakumbuka mwanzoni saeri alisema hatohudhuria happy birthday lakini baadae alihudhuria baada ya kupewa wazo na kaka yako
1577134037317.png
 
Kuna Hii It's Okay, This is Love Ya 2014
imeandikwa na mwanamama no hee kyung na sijawahi kuiangalia.
ahsante sana
nimepitia comment za wadau kwenye mitandao na wengi wao wameisifia

episode 5 za mwanzo zitatosha kwa kuanzia....
nimekumbuka kumbe nilikuwa nina kiporo cha zamani sanaaa romantic doctor teacher kim.
list ya drama nilizoangalia kwa mwaka huu inaongezeka
 
Hahahahahaha,

Umenitoa Nilipo Chingu. Mpaka Kuona Hii Alert Nikaanza Nakusmile.

Yaani Napenda Jinsi Wanavyobishana, Wezake Wote Wanmkubali Shemeji Yao Yeye T.

Zile Zawadi Alizopewa Kakataa Kurudisha Hahaha!
Hiyo series inaitwaje?
 
Nimeona Nominees Wa SBS Daesang Awards 2019

Kuna
Lee Seung Gi - Vagabond
Jang Nara - VIP
Kim Nam Gil - The Fiery Priest
Jisung - Doctor John

Apo Ni Jang Nara Na Boo Seung Gi.
natabiri mwaka huu mshindi atakuwa ni kim nam gil kupitia the fiery priest drama.

ndio drama ilioangaliwa zaidi kwa mwaka huu kupitia SBS

kama washindi watakuwa wawili basi upo sahihi mwanadada jang nara pia atashinda.

lee seungi na ji sung watapambana kwenye tunzo ya top exellence actor.

tukutane jummanne ijayo inshaallah
31/12/2019
 
Lee Sang Yoon says he's receiving a ton of hate for 'VIP' drama character
On the December 18th live stream 'To You Who Took the Trouble', Lee Sang Yoon commented on the popularity of 'VIP' and the hate he's receiving for playing the part of a cheating and conniving husband. He said,

I have never in my entire life been insulted so much. I expected it, but it exceeded my expectations. A lot of people came into the chatroom to curse me, and over 10,000 people have come in. Because people are getting sucked into the drama, I'm being cursed out a lot."

His co-star
Shin Jae Ha then commented, "Hyung said that the more his character Park Sung Joon is cursed at, the better the drama is doing, and it's doing well."

Lee Sang Yoon added, "It's doing extremely well. I'm being criticized from across the globe. If being hated on is succeeding, it's really succeeding."

View attachment 1296497
Hahaha! Wadau katika tasnia wamechafukwa.

Ila hayo majibu yao, Lee Sang Yoon pamoja na mwenzake, Jae Ha yamekuwa gumzo zaidi.

Yaani kadri jamaa anavyochukiwa ndivyo VIP Project inavyozidi kufanya vizuri zaidi. Ukikutana na Waswahili, watakwambia "ni kama kumpiga chura teke."

Hahaha! Huo ni kama wito kwa wadau na watazamaji wa VIP Drama waendelee kumchukia kwa nguvu zote jamaa ili Project iendelee kung'ara zaidi.

Wachukiaji OYEE!

Ila kiukweli kuna baadhi ya 'Character' zinaudhi sana, zinachukiza na kutia hasira pamoja na 'Frustration' bila kusahau 'Stress' za hapa na pale zikiuacha moyo wa mtazamaji ukiendelea kusukuma damu kama kawaida, mwisho wa siku hayo ni maisha ya sanaa tu.
 
View attachment 1296791
Great Dae Jang Geum( Jewel in the Palace) 2003
View attachment 1296792
DONG YI 2010

CHAGUA DRAMA BORA ZAIDI, KATI YA HIZO👆 DRAMA MBILI. NA ZOTE NI MOJA KATI YA 'K'. HISTORICAL DRAMA BORA MUDA ZA MUDA WOTE.
Kwa mtazamo wangu, Dong Yi ni Project nzuri sana na yenye visa vingi vya kufurahisha na kufundisha ndani yake ila, Jewel in the Palace inapaswa kupewa sifa yake inayostahili bila "kupepesa macho".

Moja ya mafanikio makubwa ya Jewel in the Palace ni kuutangaza vilivyo utamaduni, historia na mfumo wa maisha wa Wakorea katika uhalisia wake katika mataifa mengi Duniani.
 
kutoka December 20, 1976 hadi December 20, 2019 ni takribani miaka 43 imetimia tokea kuzaliwa kwa Jung Yong-Joon a.k.a Jang Hyuk...
umeangalia project ngapi za huyu jamaa (mzee wa back to back)?
kiupande wangu nimeangalia project hizi:
  1. slave hunter
  2. iris 2
  3. the merchant gaekju
  4. tree with deep roots
  5. money flower
  6. beautiful mind
  7. my country
  8. bad papa
  9. wok of love
  10. voice
  11. fated to love you
  12. shine or go crazy
project yake ya mwaka 2020 inaitwa tell me what you saw.
View attachment 1298023
Katika Projects zake ambazo nimepata kuzitazama na nyingine bado sijazimaliza, nadhani uhusika wake katika hizi Historical Drama tatu, alifanya vizuri sana;
  • Slave Hunters
  • Tree With Deep Roots
  • Shine Or Go Crazy
 
Back
Top Bottom