Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Hongera Chinguya Kwa Kazi Kubwa Ya Kutuhabarisha Yalokua Yanaendelea Nyumbani Kwetu. Chukahaye Chingu.awards zimekwisha....
happy new year 2020
sasa nawaomba munitafutie dawa ya kuacha kunywa ulevi wa korean drama
mwaka huu nataka nigombanie ubunge kwa tiketi ya chama
- jimbo la makunduchi = ccm
- jimbo la malindi = ACT
- jimbo lolote pemba - act
Mi Bado Nimekwama Busan Kuna Folen Hatari.
Happy 2020, Yaende Yakatimie Yote Yalonafsin Mwako InshaAllah.
Chukahaye 😍