Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

aminas sijakupuuza muhuni wewe uliyeondoa kocha ukaleta msafisha barabara...

mazungumzo yetu yataanza rasmi pindi utakapomalizika mpira wa ukweli..

hivi ile kampeni yako ya kuacha kuangalia wakorea inaendeleaje?

nakuona umeanza kupunguza dozi kwa kuangalia YISAN.

mlevi ameajiriwa kiwanda cha ulevi...

Nimeangalia Yi San Ndani Ya Wiki Kama Sijakosea

Unaona Ni Jinsi Gani Soju Ilivyonoga!

Sijawai Mjua Seo Jin Ila Baada Ya Yi San Nimejikuta Nae Namuita Boo, Ama Kweli Sijui Nimchague Nani Maana.

Nyuko Kwenye Same Management Na Seung Gi, Ndomna Wako Karibu

Ivyi Ulishawai Nishtukiza Na Little Forest!

Nimejikuta Nmpenda Brooke Eti (Nikatmn Kua Mkorea Kwa Dakika Jamani)
 
aminas sijakupuuza muhuni wewe uliyeondoa kocha ukaleta msafisha barabara...

mazungumzo yetu yataanza rasmi pindi utakapomalizika mpira wa ukweli..

hivi ile kampeni yako ya kuacha kuangalia wakorea inaendeleaje?

nakuona umeanza kupunguza dozi kwa kuangalia YISAN.

mlevi ameajiriwa kiwanda cha ulevi...
Daah Ila Hii Soju Huez Amin Nilistop Kila Kitu Kuangalia Hii Kitu, Nikajisemea Kumbe Ji-Min Kwenye Spring Night Hakukosea.
 
Naomba unisaidie Kunitajia jina la series moja hivi inahusiana na mambo ya ndoa mumewe alimpigia simu mkewe nakumuuliza uko wapi mkewe akajibu sikutajii na siku ya Leo naenda kukucheat.Mkewe amefikia maamuzi hayo baada ya kutofurahishwa na mambo yanayoendea kwenye ndoa yake na mumewe.Cast wakuu wa hiyo drama ni kwon do Hun na Lee su Jin hiyo drama ya mwaka 2019.
Kwa mujibu wa maelezo yako, jaribu kutafuta project moja hivi ya kituo cha JTBC ya mwaka huo ulioutaja wa 2019 yenye jina; The Wind Blows.

Ukiingia katika tovuti mbalimbali utakutana pia na That Winter, the Wind Blows, achana nayo. Tafuta The Wind Blows.

Ukiipata, itazame kisha utatupatia mrejesho.
 
daebak, daebak, daebak
umepatia brother..
hiyo project nilibahatika kuiangalia mwaka uliopita ila ilipotea kwenye kumbukumbu zangu.
jamaa alikuwa anasumbuliwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu (Alzheimer's),akaona ni bora amuache mke wake kuliko kuendelea kuishi nae kwa kuhofia atambebesha mzigo mzito wa kimaisha.

miaka ya mbeleni msichana baada ya kugundua sababu ya kuachana kwao akaamua kurejesha uhusiano.

innocent dependent unaitwa huku na kaka mkubwa (franc the great)
natumai utatupunguzia simulizi za hadithi hii.
Yeah! Ndiyo hiyo hiyo mkuu.

Na ndiyo ambayo ndugu innocent dependent atakuwa akiitafuta.
 
The Wind Blows

1579455956966.png

====

LINK:
 
Kwa mujibu wa maelezo yako, jaribu kutafuta project moja hivi ya kituo cha JTBC ya mwaka huo ulioutaja wa 2019 yenye jina; The Wind Blows.

Ukiingia katika tovuti mbalimbali utakutana pia na That Winter, the Wind Blows, achana nayo. Tafuta The Wind Blows.

Ukiipata, itazame kisha utatupatia mrejesho.
Kamsahminda.

Umetusaidia.
 
Back
Top Bottom