Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

no updating (hakujawa na taarifa rasmi ya muendelezo wa season 2) mpaka muda huu.

inategemea na maudhui yanayokuvutia kwenye nafsi yako, huenda kuna uhaba wa maudhui yanayokuvutia ndio maana umejiaminisha kuna uhaba wa drama nzuri.

  1. itaewon class drama
  2. criminal : tell me what you saw drama
  3. sports and management: stove league drama
  4. rom-comedy: crash landing on you drama
  5. medical: romantic doctor teacher kim season 2 drama
  6. economy and finance: money games drama
  7. crime and mystery: the game toward zero drama
  8. legal: diary of prosecutor drama
jumla = episode 16 (dozi yangu ya wiki)
View attachment 1347507
Cover ya hiyo drama inaitwaje?
 
Asante
Au itakua waigizaji pendwa wangu sijawaona kitambo, maana design za sky castle, money flower, my ajhussi au hotel de Luna
jang hyuk Ana new drama? I miss him

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi steps huwa zinaboa ila ndo mvumilivu hula mbivu
IMG_20200206_095412.jpg
IMG_20200206_095440.jpg
 
Zamani zilikua zinaboa ila saiv nimeshazizoea hasa net ikiwa kasi kubwa hizo hatua unazipita haraka mno

Hapo kwenye captcha unabonyeza skip captcha (FE server)haina haja ya kubonyeza hizo picha.
Mara ya kwanza nilikuwa sijui baadae nikaja kujua ninatakiwa ni skip Fe server baada ya utundu wangu.
 
Kweli kabisa kuna video unakuta imeandikwa gb 1.5 ila ukiidownload inakua mb 200 hadi 300
hiyo ndio serever ninayoipenda (asilimia 95 ya video nazipakua kwa kutumia server hiyo)
  • inakupa uhakika wa machaguo (video quality) ukilinganisha na server nyenginezo
  • bando linapungua (niliwahi kufanya utafiti uchwara nikagundua hilo)
nimesema utafiti uchwara
 
Inawezekana upo sahihi maana me naangalia episode moja tu kwa mb 158 tena kwa quality ya juu Sana.
 
Hio itakua ongoing ee ila application ninayotumia inashusha mb hasa kama tayari ina subtitles. Kule dramanice ni balaa hazikubali kushuka,mb tele japo video inakua nzuri ila muda mchache kuvuta episode moja tu ya mb 500 hadi 600
maudhi ya server hiyo inakuja pale ambapo video haijawa converted, kwa mfano leo asubuhi kuna episode nimeikuta bado ipo HD na imebeba 500 MB (nimeipotezea)
 
ni ongoing drama (mara nyingi inakuwa ni bahati nasibu hivyo basi ni bora uisubuirie kwa muda)...
dramanice baadhi ya episodes zimekuwa converted different quality (webiste nyingi wanaitegemea dramanice)

ukibonyeza hapo sehemu iliyoandikwa donwload itafunguka link ambayo imebeba video quality na baadhi ya server zake.
View attachment 1349240
hii ndio episode niliyoikuta ina mb 500 alfajiri ya leo, kwa sasa imekuwa converted only 480 video quality
View attachment 1349241

ukienda kissasian wameiconvert hadi 360 video quality na imebeba mb 170 kwa sever ya FE na mb 113 kwa sever ya kissasin beta.

View attachment 1349246

View attachment 1349243
utafiti wangu uchwara unaendelea kuwa sahihi
Upo sahihi kwa asilimia 💯 hata me nimeliona hilo.
 
Back
Top Bottom