Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna kazi inaitwa Parasite ni Korean drama naipataje?

Living my dreams
Parasite ninayoifahamu mimi ni movie yenye mafanikio makubwa katika tuzo mbalimbali duniani hususani hivi karibuni.

Hii utaipata tu katika sites mbalimbali za filamu na kutokana na umaarufu wake, sidhani kama itakosekana katika sites maarufu za filamu.

Kuna sites nyingi ambazo unaweza kutazama online na pia unaweza kupakua. Hizi ni baadhi zilizozoeleka;




MV5BYWZjMjk3ZTItODQ2ZC00NTY5LWE0ZDYtZTI3MjcwN2Q5NTVkXkEyXkFqcGdeQXVyODk4OTc3MTY@._V1_UY1200_CR...jpg
 
Back
Top Bottom