Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hatari kubwaaaaa
Nimeangalia episode 1 nikiwa natetemeka utadhani mimi ndio yule mama dokta 🤦♀️
Wanaume jamani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cos ur not marriedHatari kubwaaaaa
Nimeangalia episode 1 nikiwa natetemeka utadhani mimi ndio yule mama dokta [emoji2356]
Wanaume jamani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Cos ur not married
Ungejifunza kimyakimya bila kutoa sautiWhat if I’m? [emoji4]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Piece of Mind Inaenda Kuzuri,Hi agassi
nilikuwa naihudumia likizo yangu kwa takribani wiki mbili, hatimaye jana (jumapili) nimeangalia:-
- a piece of your mind = episode 5, 6, 7, 8 (nimefurahi sana kuanzia episode 6 tumehama kwenye ulimwengu wa ji soo hatimaye tumehamia rasmi kwenye ulimwengu wa new couple)
- memorist = episode 9, 10, 11, 12
- nobody knows = episode 11, 12, 13, 14
leo panapo uhai nitaangalia
- the world of the married = episode 5, 6, 7, 8
- the king eternal monarch = episode 1 na 2
The King eternal monarch nimeanza kwenda nayo sambamba episode ya kwanza. Who is with me[emoji39][emoji39]
Shukrani sana mkuu.
- jing bi rok (the memoir of imjin war)
- admiral yi soon shin
- jeong do jeon
- horse doctor
- the kings dream (dream of emperor)
- empress chunchu
- emperor wang guhn
- age of warriors
- shin don
- dae jo yeong
Kwanini!?nimeshakaribia.
piece of mind wameamua kuipunguza episode kutoka 16 hadi 12
Tabu ya ongoing huanzia hapa...yan unaeza pata dalili za corona kutabiri kifuatacho.Hatari kubwaaaaa
Nimeangalia episode 1 nikiwa natetemeka utadhani mimi ndio yule mama dokta [emoji2356]
Wanaume jamani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
umegundua kitu gani?
kiupande wangu nimeiona sura ya mwanaume yenye kufanana na lee min ho na si sura ya mwanamke yenye kufanana na kim go eun.
Parallel world and time travel?
ukiangalia kwa umakini tukio la uokoaji liliofanywa na mwanadamu aliyevaa mask unagundua ya kwamba alikuwa na uelewa mkubwa sana wa eneolililotokezea mauaji ya mfalme (kiuhalisia kwa ambaye ni mgeni ingelimuwia vigumu sana kuifahamu ikulu kiundani) na jengine zaidi kwenye lile tukio alikuwa akimtafuta sana lee rim ili amuue.
Muandishi ametuaminisha ya kwamba aliyemuokoa lee gon ni mwanamke kwa sababu ya ushahidi wa kitambulisho chenye jina la Jung Tae Eul lakini ukiliangalia lile tukio kwa umakini unagundua ya kwamba aliyemuokoa lee gon mdogo ni mwamamme anayefanana na lee gon wa baadae (Lee min ho), ina maana lee gon amejiokoa mwenyewe...
ukirudi kuliangalia tena lile tukio kuna wakati muokoaji aliushikilia mwili wa adui kwa lengo la kujikinga dhidi ya silaha, laiti kama muokoaji angelikuwa ni mwanadada Jung Tae eul basi kivyovyote kwa umbile lake asingeliweza kujikinga na risasi zitakazopigwa juu kwa sababu ni mfupi ndio maana najiaminisha yule muokoaji ni mwanaume anayefanana na lee min ho mwenyewe.
View attachment 1425889
- je huyu mwanadamu aliyefanana lee gon ni yupi na anatokea wapi?
- je ni yule bwana mdogo aliyepo jamhuri ya korea?
- je lee gon amesafri na muda (nikimaanisha lee gon mkubwa amejiokoa mwenyewe dhidi ya kifo chake akiwa mdogo na kama ni hivyo ametumia power gani), tukumbuke lile tukio limetokezea mwaka 1991.
- je kuna uwezekano wa uwepo wa third parallel world?
View attachment 1425890
View attachment 1425891
hii sura ni ya lee min ho mwenyewe kwa uzoefu wangu wa kuangalia drama....sijui wenzangu mumegundua jambo gani?
au wenzangu ndio mumeingia kwenye mtego wa muandishi?
teh teh teh
Nimerudi Tena baada kimya Cha muda mrefu kwenye jukwaa hili kwa kimya changu Kuna watu walikuwa wananiteta ila majina yao nimeyaifadhi.Nina habari nzuri nimekuja nayo na drama inaitwa "The game towards zero" hii inahusu jamaa mmoja ambaye amezaliwa na uwezo wakuona future ya mtu akikutazama tu au kuona picha yako anajua unakufa muda gani au unakufaje?watu wachache pekee wanamfahamu huyo jamaa pamoja na kuweza kuona kifo Cha mtu kwenye future ya mtu Cha ajabu mtu mmoja pekee ambaye ni binti ambaye ni polisi anashindwa kuona future yake pindi tu anapomtazama je unajua Ni kwanini?
Mtihani mwingine anaupata huyo mtoa maono Ni kuzuia hatima ya kifo Cha mtu kisitokee baada ya kuona tukio linaloweza kutokea kwa muda mfupi.Mtoa maono alionywa na baba yake asiowaoneshe watu maono yao cos yanaweza kumletea madhara ya kuwindwa na watu wabaya kwa kuofia mtoa maono anaweza kuwaharibia mipango yao je atafuata ushauri wa baba yake na je Kama hatafuata Nini kitatokea baadae usikose kuangalia drama hii Kali na yenye mvuto wa aina yake Daemusin Numbisa Nifah Aminas
Numeshakupa hiyo drama kazi Ni kwako na bando tu.Natamani ungekaa huko huko kwenye kimya kirefu looh kijana umerudi na mzigo mwingine. Hapa kila comment utaipachika drama yako
Welcome back kaka yake zuchu
Numeshakupa hiyo drama kazi Ni kwako na bando tu.
Naona umechanganya mafaili na hii inasabishwa na kuangalia drama bila kusoma jina la drama au kusahau,The game towards zero Ni ya mwaka Huu 2020.Hiyo ulioiyona zamani inaitwa " black" Ina maudhui Kama hii lakini Ina tofauti kidogo kwenye visa na matukio.Nimeshaiona zamaaani
Naona umechanganya mafaili na hii inasabishwa na kuangalia drama bila kusoma jina la drama au kusahau,The game towards zero Ni ya mwaka Huu 2020.Hiyo ulioiyona zamani inaitwa " black" Ina maudhui Kama hii lakini Ina tofauti kidogo kwenye visa na matukio.
Mwaka Huu unaitwaje Ni zamani? Zamani tunazungumzia years agoSema tu unapenda ubishi jamani. Episode ya mwisho imeruka march 2020 now tupo april tena 24,2020 Kwani zamani kwako huwa inachukua masaa,miezi au miaka mingapi?