Bukondamoyo
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 458
- 490
Tekno K7tumia IDM kama ni PC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tekno K7tumia IDM kama ni PC
mtafute Numbisa ndiye master wa kushusha series za kikorea kwa simu au jitupe telegram unaweza kukutana na drama unazozihitaji kupitia channel tofautiTekno K7
Za telegram hazina subtitles sasa na Mimi sijawahi ishi joseon wala busan ,hiyo lugha chengamtafute Numbisa ndiye master wa kushusha series za kikorea kwa simu au jitupe telegram unaweza kukutana na drama unazozihitaji kupitia channel tofauti
Hiyo hiyo ya the moon that embrace the sunyalinikuta juzi, nilishusha the moon that embrace the sun completed, kuiangalia no subtitle (nikabaki namtukana -----------)
unahitaji drama gani?
Haina nomatumia website ya kissasian (usiku wa leo nimetoka kuidownload tena)
mjumbe kipepeo anatusalimia
Nurse Park is her mom, sister, ahjumma, harabujii, shoga, villain, kiherere, kisigino umbeya, kubwa la maadui, amrish kapoor, zombie, ghost?
muandishi atuache na amejua kutushusha na viherere vyetu vya kunywa theory na practikali sisi wengine
wengine ndio kwanza tunatoka usingizini baada ya kujimwaga na harusi ya dada yake chadomo
tunakutana na ngumi nzito ya PD na writer
frustrationiiiiiii
View attachment 1524525
TorrentsdownloadUnatumia downloader ipi
yalinikuta juzi, nilishusha the moon that embrace the sun completed, kuiangalia no subtitle (nikabaki namtukana -----------)
unahitaji drama gani?
projects zako sijui unazitolea wapi shangazi yake ya mtu......One percent of something
imeleta burudani tosha kabisa weekend hii
On the way to the airport na sweet stranger and me zinafatia.
Mystic pop up bar ina kaburudani kwa sie wapenda fantasy za ulimwengu tusiouona
projects zako sijui unazitolea wapi shangazi yake ya mtu......
mbona sizioni, jana ilipofika saa 9 usiku nilikuwa natafuta project ya kuongezea stocks cha ajabu kila nikitafuta zinakuja zile kwa zile.Hahaha nazidaka google
mbona sizioni, jana ilipofika saa 9 usiku nilikuwa natafuta project ya kuongezea stocks cha ajabu kila nikitafuta zinakuja zile kwa zile.
nikaona isiwe tabu acha niichukue some thing in the rain (pretty noona who buys me food)
====================
ukiona halotel wameondowa ofa yao basi ujue sababu moja wapo ni mimi.
nimelala saa 10, nimetumia GB takribani 30
=====================
halotel idumu milele
itakuwa ni roboti, GB 100 ni nyingi sana kwa masaa 6GB 30 mbona ndogo kule technology uzi wa vifurushi,kuna mmoja alisema alishafikisha hadi GB mia kwa usiku mmoja,nilitamani kasi yake ni bandika bandua.
mara nyingi wananiletea zile maarufu (nyingi huwa nishaziona)Zipo uwe unaandika mwaka tu mfano korean drama 2016 list inakuja ndeefu unachagua unazoona zitakua nzuri.
itakuwa ni roboti, GB 100 ni nyingi sana kwa masaa 6
mara nyingi wananiletea zile maarufu (nyingi huwa nishaziona)
umenikumbusha, ngoja nijaribu inshaallahSana au labda alikua na vifaa viwili vitatu mambo ya hotspot ila leo unaweza vunja rekodi jero yako tu.
inawezekanaSana au labda alikua na vifaa viwili vitatu mambo ya hotspot ila leo unaweza vunja rekodi jero yako tu.
umenikumbusha, ngoja nijaribu inshaallah