Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Unadelete bila kuangalia?mie huwa naangalia na kufuta. Mtu anaweza dhani nina drama karibia mia kumbe hapa ninazo tatu tu nikibakiza episode tano nafuta drama nilizoangalia navuta nyingine
ila drama zinachosha, mimi kila zinapokuwa nyingi ndio shetani wa delete anaponipanda zaidi.
kuna project takribani 5 nimezidownload lakini baadae nimezifuta
 
Baada ya jumong ni mtiririko upi wa hiki kisa.

Ukimaliza kuangalia JUMONG unapaswa kuangalia season ipi ambayo ni muendelezo wa hii hadithi.
Mtiririko kamili wa hadithi hii una series ngapi zimechezwa.
 
Baada ya jumong ni mtiririko upi wa hiki kisa.

Ukimaliza kuangalia JUMONG unapaswa kuangalia season ipi ambayo ni muendelezo wa hii hadithi.
Mtiririko kamili wa hadithi hii una series ngapi zimechezwa.
Kingdom of the Wind/Princess Jangmyungo ( Hizi zimeonyesha utawala wa Mfalme Daemusin( Muyul ambaye ni mjukuu wa Jumong wao wanamuita mungu wa vita), King Geuchoggo( Humu ndani inamuelezea moja ya Yogu ambaye ni Mfalme wa Baekje, ambaye huyu mwamba alikuwa akiwanyanyasa Gogryeo., King Gwanggaeto the Great ( Huyu Mfalme wa 19 Gogryeo alikuwa anajiita The North Ghost General, Kifupi Huyu ndio Mfalme bora wa Gogryeo na rolemodel wa mashujaa wengi wa Korea, huyu ndiye alifanya Gogryeo kuheshimika Asia) Legend of four gods imemuelezea japo kwa namna ya Kujiongeza kwa Director.
Ukimaliza hizo kwanza ndio uje tukupe task nyingine.
 
Dae hawajawahi nini?nasubiria umalizie😂😂😂😂
record of youth drama episode 14
choi soo jong cameo
😛😛😛
===============

unajua hii couple yao nje ya ulimwengu wa sanaa kwa nyakati tofauti imekuwa ikiwafanya wanandoa wa kikorea wawe katika nyakati ngumu sana hususani kwa wanaume(wamefunga ndoa mwaka 1993 lakini hawajawahi .............)

View attachment 1610639
 
Mateso ya kissiassian bye bye

Kuna tofauti kubwa kati ya dramacool9.co na dramacool.movie

Dramacool9 ni nzuri na nyepesi kudownload ukishaclick episode husika subiri ianze kuplay utaona kitufe cha kudownload unaclick hapo inakuja bila manamba namba

Dramacool.movie ina matatizo ya kukutaka uonyeshe wewe sio robot kila muda

Kissiassian ni nzuri ila sasa kusubiri verification yao ni shughuli hasa browser ikiwa slow
 
Miye zote Dramacool, Dramanice na Kissasian huwa napakua bila manambanamba.
 
Niko na do do Sol Sol lala Sol na 18 again
sijaangalia drama kwa takribani wiki mbili....

hivyo vidrama vyako uchwara pia sijaviangalia.

Ushauri wa bure kutoka kwa chama dola..

Ongezea penthouse drama.
kama una fikra za kimasikini usiangalie Ila sikukumbuki kuwa na fikra hizo.

Zile swagger za sky castle, ndivyo wasemavyo wenyewe walioaiangalia.

huku kwetu wanaitwa wazaliwa wa baghani, shangani, hurumzi, michenzani....

Utasikia tu...
aunt talnam ile dollar 3900 umeshaituma kwa shangazi farhini wa chukwani?

akina sisi...
wewe daee ile 1599 iliobaki kwenye tigo pesa hebu itoe tukapate dagaa.

unabaki

Mhhhhhh mamaa hii ni ya bando la usiku, Kuna wahuni wa telegram wanajifanya hawajui kupakua season.

Mama mwenyewe na majibu yake

Ebooooosssss!!!! pumbavuuu hiyo telegram ndio inayokulisha, ndio maana umekonda Kama miguu ya popobawa.

Umasikini laana
 
Back
Top Bottom