Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu ni app au???
ni tovuti na ndio ulio ombaMkuuu ni app au???
Unaipata plystore au una ipata wapNi kweli Dramanice haipo ipo Dramacool lkn uzuri zote zinafanana sana.
kissasian iko mwake pia
Muulize huyu atakua keshaiangaliaNumbisa hivi series ya kuitwa queen seduok ni nzuri? Naomba vidokezo kabla sijaamua kuishusha.
Aisee, kunasiku kwenye kupita pita humu nikaona mtu ame suggest Gwangwaetto the great, aisee sijajutia muda wangu,namshukuru sana huyo mtu Mwenyezi Mungu amlipe.. members nipeni nyingine inayoendana endana na hii ukiacha hiz
jumong
kingdom of wind
queen sedouk
Tia neno lolote kwa hiyo picha hapo..
View attachment 1625726
Wakuu hii drama ya Crash landing on you, hivi kweli North Korea hawakutoa hadharani kumaindi.?
ummmm!! Dramas unazoangalia huwa unapakua/download kutoka wapi?Nimejaribu kuelewa sijaelewa chochote
Sidhan kama walimaind maana drama nzima haikukanyaga north korea zaidi ya kutumia jina tu la nchi. Pia story nzima ina ukweli wa asilimia chache mno
Soma zaidi
The first script reading took place on July 31, 2019 in Sangam-dong, Seoul, and filming overseas started at the end of August 2019. North Korean scenes were shot in South Korea and Mongolia. Scenes that took place in Switzerland were shot on location.
Hapa tena
Did you know that Crash Landing on You was filmed in Jeju Island as well? The iconic scene of Yoon Se-ri accidentally landing on the North Korea DMZ while paragliding was filmed at Hallasan National Park in Jeju Island!
ummmm!! Dramas unazoangalia huwa unapakua/download kutoka wapi?
Niliona BBC wameripoti kuhusu North Korea ku dis hiyi drama.
Ila all in all hawa jamaa wako professional sana na kazi zao, yaani ile drama imenichukua sana kimawazo mpka nikahisi hawa jamaa ni hatari sana. Ebu fikiria yale majengo ya North Korea kwenye drama walivyo yaandaa aisee ni hatari sana. Kuna vingi sana nimeona na nimejifunza sana kutokana na hiyo drama, nadhubutu kusema ile drama ndio bora kwangu.
Yule dada Son Ye Jin ni noma sana aisee, unajua huyu dada ameniliza sana.! Huyu dada ana hisia kali sana kwenye kuigiza, ile scene Hyun Bin na wenzake wanarudishwa kwao Korea Kaskazini aisee nilipenda sana yale maneno anamwambia mpenzi wake.
Hii drama ilinikuta kwenye story nyingi za north korea(mikwara matata ya kiduku) nilipoiangalia na kujumlisha zile stories nilikosa uhondo kamili kila nikiiangalia kwa jicho la burudani naona maigizo tu sijui sababu ya wale wamama niliowazoea south korea kuwa wa north korea. Anyway ni tamu,yenye msisimko