Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Na Ikawe. Si Rahisi Ila Kama Una Kitu Cha Kukufanya Tyt Kidogo Unapunguza au Ukipata Mbadala Unaweza.Happy new year 2021
mwaka 2020 nilijiwekea lengo kuu la kupunguza dozi ya kuangalia wakorea, nashukuru zoezi hilo lilifanikiwa kwa kiwango kinachoridhisha.
mwaka 2021 nimejiwekea lengo la kutokuangalia korean drama, si jambo rahisi kutekelezeka hususani ukishakuwa ni muathirika ila kwa kuwa nimeweka nia na dhamira imara natumai nitaifanikisha azma yangu.