Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wananiacha hoi pale kwenye kukoholea chakula kaambiwa kitu kidogo tu eti anapaliwa na kutemea msosi wootee mezani. bado ule wali wanachanganya kwenye bakuli kuuubwaaa wanashea wengi tena kwa fujo wakorea bana
Haha si bora mezani ...anatemea humohumo kwenye bakuli. Halafu kuna ile mtu anapika, anachota na kijiko hicho hicho anachopikia anaonja mchuzi na kama umebaki anarudishia humohumo. Mimi huwa nasema wakorea hawaoneani kinyaa kushea mate
 
😂😂😂😂Hio tabia huwa inanifanya nikunje sura utadhan mie ndo ninayeandaliwa huo msosi. Wanamambo mengi ya ajabu ajabu
Haha si bora mezani ...anatemea humohumo kwenye bakuli. Halafu kuna ile mtu anapika, anachota na kijiko hicho hicho anachopikia anaonja mchuzi na kama umebaki anarudishia humohumo. Mimi huwa nasema wakorea hawaoneani kinyaa kushea mate
 
Yaani yale maisha ya kuokota bahati. hao lead actress mwisho wa siku wanatokea kupendwa na vijana wa kitajiri mara paap maisha yanabadilika kutoka kwenye umaskini hadi utajiri bila wao kusotea mara kusema aanzane na kijana mwenzie maskini waje watajirike mbelen baada ya kusota sana
Hivi mnaposema watu wanataka kuishi maisha ya kwenye tamthiliya mnazungumzia hizi hizi ambazo na mimi naangalia au...? Maana mimi kwa kadri ninavyofahamu drama nyingi nilizoangalia lead actress huwa na maisha ya kawaida au ya chini kabisa..hhata kwa wafilipino nimeona ni hivyo hivyo. In my opinion, kama wadada wakisema waishi kufuata mifano ya kwenye drama basi tutakuwa na wanawake wazuri sana
 
Yaani yale maisha ya kuokota bahati. hao lead actress mwisho wa siku wanatokea kupendwa na vijana wa kitajiri mara paap maisha yanabadilika kutoka kwenye umaskini hadi utajiri bila wao kusotea mara kusema aanzane na kijana mwenzie maskini waje watajirike mbelen baada ya kusota sana
Lakini si wanakuwa wamepata bahati tu kama ambavyo hata sisi huku mtu anaweza kubahatika sio kwamba wanakuwa wametumia juhudi zozote kuwasaka
 
Kuna bahati na kuna juhudi binafsi lakini wote wanakua na malengo ya kuishi vizuri kupita uwezo wao. Kuna maisha ya movies na kule instagram asilimia kubwa hawayawezi ila wanayapigania kwa udi na uvumba wayapate ndo hapo waganga matapeli wanapofanikiwa kuwadaka wateja wa hivyo.
Lakini si wanakuwa wamepata bahati tu kama ambavyo hata sisi huku mtu anaweza kubahatika sio kwamba wanakuwa wametumia juhudi zozote kuwasaka
 
ongezea na hii web series inayoitwa EXO next door.
episode zake ni wastani wa robo saa
binafsi sijabahatika kuiangalia(no comment)
hawa member waliotumika ni wa EXO kweli, yupo baek hyun, exo chanyeol, exo d.o, kai mzee wa dance, suho
===================
Ji Yeon Hee is a 23 year old girl, who hasn't yet dated because she blushes terribly and is completely paralysed when she's near a good looking boy. One day, four members of EXO are trying to keep a low profile, and move into the house of one of the member's grandfather.
However, it turns out that EXO members' house is right in front of Yeon Hee's house.

Asante
 
Na mie nimekumbuka asubuh hawapigi mswaki ni shaa mezani hamna cha chai wala mkate bali wali na mboga mboga mia kidogo. Wale wa diet wanakula majani majani waliyochanganya matunda kidogo
Umesema kutapika
Umenikumbusha kwanin Huwa wanatapikia vyoon tena wanagusa kabisa zile sink...nikifikilia vyoo vya kibongo
 
Naombeni majina ya series nzuri na za kusisimua za kikorea za kifalme mithili ya JUMONG,six flying dragons,empress Ki,crowned clown,Dong Yi, emperor of the sea(naitafuta) n.k
 
Naombeni majina ya series nzuri na za kusisimua za kikorea za kifalme mithili ya JUMONG,six flying dragons,empress Ki,crowned clown,Dong Yi, emperor of the sea(naitafuta) n.k
nakumbuka huko nyuma niliwahi kukuwekea link ya wikipedia iliyo contain list ya korean historical drama, sikutegemea kama utarudi tena na dai hili
 
nakumbuka huko nyuma niliwahi kukuwekea link ya wikipedia iliyo contain list ya korean historical drama, sikutegemea kama utarudi tena na dai hili
Ahsante sana...ila sio mm hii link ndo naiona leo!!!!
 
SteveMollel zicheki hizi utafurahi kwa roho yako "Innocent defendant" kwangu hii ndio best drama of all time nyingine zakuzicheki ni Penthouse, The last, The mask woman na kiporini The empress ki zote hizo zimefutia Sana story zake zimeshiba haswa kuna wakati unaona bando lako linathamani ndogo kuliko ukubwa wa hizo drama.
Natazama sana mzee. Ngoja nianze shusha NONDO.
 
Umesema kutapika
Umenikumbusha kwanin Huwa wanatapikia vyoon tena wanagusa kabisa zile sink...nikifikilia vyoo vya kibongo
Umesema kutapika
Umenikumbusha kwanin Huwa wanatapikia vyoon tena wanagusa kabisa zile sink...nikifikilia vyoo vya kibongo
Halafu anakaa kabisa chini. Nadhani vyoo vyao sio kama vya kibongo huwenda wenzetu wamestaarabika. Kuhusu kutapikia chooni mimi nadhani ni utaratibu mzuri kabisa
 
Na mie nimekumbuka asubuh hawapigi mswaki ni shaa mezani hamna cha chai wala mkate bali wali na mboga mboga mia kidogo. Wale wa diet wanakula majani majani waliyochanganya matunda kidogo
Chakula kirahis ni rameyen siiivo ni side dish za kufa mtu.

Zile drama za kupika natamini niibe recipe zaoo sijui vitalika[emoji23]
 
Back
Top Bottom