Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Endelea tamu sana kwangu ni nzuri kuliko drama yoyote ya kikorea😂😂😂
Aigoo.... kwa mlioangalia reply 1988 niendelee kula mtori nyama ziko chini? Maana nimeangalia episode tatu naona maruweruwe tu