Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Niliishia ep 12 sijui na nlikua na shauku ya kumjua muuaji na nimeshusha yote nikasema nipumzike kwanza

Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
dada yake ndiye muhusika mkuu wa matukio ya mauaji (The Eraser)
1629545712604.png
 
Siku hizi natumia kissiasian.li maana sh imepotea


Hii ipo kama kawaida ukifika hapo unachagua FE. Unaweza ukaiplya kwanza kisha uanze kudownload(kitufe huwa kinatokea baada ya kuplay video) View attachment 1895531

Au dramacool9.co hapa ukishachagua dramaunaenda kuchagua episode husika inatokea video yake unaclick neno download unachagua server. Kwa upande wangu zinakubali hizo mbili za kati ila doodstream ina mb ndefu.View attachment 1895538

Matangazo mpka nimeshayazoea ni ngumu kuyablock zaid ya kuyawah kabla hayajakupeleka eneo husika
Link hii ndio nyepesi kuliko zote Dramacool | Asian Drama, Movies and Shows English Sub Full HD
 
Back
Top Bottom