Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu hebu tupe maarifa haya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hii hapa ila inahitaji laini ya TTcl kuanzia saa 12 asubuh kila siku unashusha mizigo yoyot na yenye quality yoyot unayohotaji
IMG-20211224-WA0003.jpg
 
Niko bored sana sina cha kufanya this holiday, drama gani kali ya korea ni recommended for me?
kama unapenda zenye maudhui ya siasa
  1. the great king sejong
  2. jing bi rok: the memoir of imjin war
  3. jung do jeon
zenye maudhui ya siasa, vita na mapinduzi
  1. admiral yi soon shin
  2. dae jo yeong
  3. age of warriors
  4. emperor wang guhn
medical drama zilizojengeka upande wa historia
  1. jewel in the palace
  2. hur jun 2000
  3. hur jun 2013
  4. horse doctor
zenye maudhui ya biashara
  1. sang do
  2. the merchant gaekju
  3. emperor of the sea
NB: modern dramas watakusaidia wengineo
 
Merry Christmas ndugu zangu wakorea wa bongo.

Kwa hisani ya Racket boys. Vya bure raha sana yaani situlii na drama moja
Saa 1 usiku ndio unatuandikia ujumbe wa kututakia kheri ya kuzaliwa kwa kristo,

Ulifikiri nitatoka nyumbani upembani nije nifuate biryani kwa mchuzi wa sato huko kwenu usukumani.

Kumbe shangazi ni mchoyo, yule mjukuu naye amenitakia heri ya kinafiki.
ndege wafananao
Sijamjibu.

Ramadhani yaja,
Sikukuu yajikongoja,
Hutonusa harufu ya keki.
wala harufu ya mpunga wa bonde la cheju.

Nimezipokea salamu zako kishingo usawa.
 
hahahahaha The Happiness babu ako ana maneno jamani hata kasi ya cherehani haimfikiii.

Ukaangalia na muda wa salamu. Idd hadi ifike utakua ushasahau😂😂😂na madikodiko ya kipemba yalivyo draft(kama wakorea na side dishes zao)tutafaidi sie. Eid Mubarak in advance

😂😂😂😂uyu Babu anazeeka na ujana wake naona, eti mjukuu sijamjibu, khaa😂😂
 
Back
Top Bottom