Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Umejaribu HA tunnel wanatoa GB unlimited kuanzia saa 12 asubuh mpk saa 3 asubuh alafu speed yake ni balaaTtcl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejaribu HA tunnel wanatoa GB unlimited kuanzia saa 12 asubuh mpk saa 3 asubuh alafu speed yake ni balaaTtcl
Mkuu hebu tupe maarifa hayaUmejaribu HA tunnel wanatoa GB unlimited kuanzia saa 12 asubuh mpk saa 3 asubuh alafu speed yake ni balaa
Hii hapa ila inahitaji laini ya TTcl kuanzia saa 12 asubuh kila siku unashusha mizigo yoyot na yenye quality yoyot unayohotaji
Ngoja niipakue kesho nifanye yanguHii hapa ila inahitaji laini ya TTcl kuanzia saa 12 asubuh kila siku unashusha mizigo yoyot na yenye quality yoyot unayohotaji View attachment 2055559
File yake?Hii hapa ila inahitaji laini ya TTcl kuanzia saa 12 asubuh kila siku unashusha mizigo yoyot na yenye quality yoyot unayohotaji View attachment 2055559
Ni PM nashidwa kutuma humu file lakeFile yake?
Nishalipata la Mr Ochu hilo telegram kule.Ni PM nashidwa kutuma humu file lake
kama unapenda zenye maudhui ya siasaNiko bored sana sina cha kufanya this holiday, drama gani kali ya korea ni recommended for me?
Unatakiwa unishukuru sana na kuna nyingine inaitwa Crime puzzle ni ya moto ina matumizi ya akili na ina story nzuri kama umeipenda The Veil hii utaipenda zaidiAliye recommend The Veil..shukrani za dhati zimfikie[emoji106]
Hiyo app huwa ina configuration files zake
Saa 1 usiku ndio unatuandikia ujumbe wa kututakia kheri ya kuzaliwa kwa kristo,Merry Christmas ndugu zangu wakorea wa bongo.
Kwa hisani ya Racket boys. Vya bure raha sana yaani situlii na drama moja
Saa 1 usiku ndio unatuandikia ujumbe wa kututakia kheri ya kuzaliwa kwa kristo,
Ulifikiri nitatoka nyumbani upembani nije nifuate biryani kwa mchuzi wa sato huko kwenu usukumani.
Kumbe shangazi ni mchoyo, yule mjukuu naye amenitakia heri ya kinafiki.
ndege wafananao
Sijamjibu.
Ramadhani yaja,
Sikukuu yajikongoja,
Hutonusa harufu ya keki.
wala harufu ya mpunga wa bonde la cheju.
Nimezipokea salamu zako kishingo usawa.
Naomba nitumie mimi bossNi PM nashidwa kutuma humu file lake
😂😂😂😂uyu Babu anazeeka na ujana wake naona, eti mjukuu sijamjibu, khaa😂😂hahahahaha The Happiness babu ako ana maneno jamani hata kasi ya cherehani haimfikiii.
Ukaangalia na muda wa salamu. Idd hadi ifike utakua ushasahau😂😂😂na madikodiko ya kipemba yalivyo draft(kama wakorea na side dishes zao)tutafaidi sie. Eid Mubarak in advance
😂😂😂😂uyu Babu anazeeka na ujana wake naona, eti mjukuu sijamjibu, khaa😂😂
😂😂😂😂mwambie tu mjukuu wake nasema "ninakumiss zaidi babu.... 🏃♀️😂😂😂😂😂Baba chico bana,na hapo anakwambia hayupo kwenye mood ya kuandika kisa mjukuu umemsahau.la sivyo angeporomosha gazeti reeefuuu la menu za Idd.
Kama unatumia TTcl ni PM nikutumie