Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
ndo kama huyo sasa kwenye yumi kazubaa mno na bukta zake khaa
Bora usubirie magazeti ya DAEMUSHIN kuliko kusubiria daladala stend za mwendokasi😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Numby bhana acha hizo. Usinikumbushe Park Si hoo alivyokuwa amezubaa kwenye king maker hadi nilikuwa naona uvivu kutazama drama zake zingine
Kweny Itaewon Class alikuwa mse.nge kweli, nilikuja kugundua baadae sana kuwa ndio yeye. Nasubiria kwa hamu kapo ya Bobby na Yumi[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]