Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ndo kama huyo sasa kwenye yumi kazubaa mno na bukta zake khaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Numby bhana acha hizo. Usinikumbushe Park Si hoo alivyokuwa amezubaa kwenye king maker hadi nilikuwa naona uvivu kutazama drama zake zingine
Bora usubirie magazeti ya DAEMUSHIN kuliko kusubiria daladala stend za mwendokasi😂😂😂
Kweny Itaewon Class alikuwa mse.nge kweli, nilikuja kugundua baadae sana kuwa ndio yeye. Nasubiria kwa hamu kapo ya Bobby na Yumi[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Na-recommend hizi dramas/shows. Hutojutia MB zako!

The Soldiers:

Snowdrop:

The King of Tears, Lee Bang Won:
 
😂😂😂😂😂😂Hivi kwenye mine kuna villain!!? maana hadi episode ya 11 sijatokea kumchukia yeyote. Ka first born kalevi na vituko vyake vinafurahisha
Inategemea wewe unaweza kuipenda. Mine pia niliipenda sana, ni drama ambayo nilishindwa kabisa kumchukia villain[emoji1787]
 
Back
Top Bottom