missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Naomba nielekeze mara ya mwisho maana nime uninstall so nikisha download nafuata step zipi[emoji85]Pole ,mie nilikomaa nayo mpaka nikaielewa wapi ina mwendo wapi haina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nielekeze mara ya mwisho maana nime uninstall so nikisha download nafuata step zipi[emoji85]Pole ,mie nilikomaa nayo mpaka nikaielewa wapi ina mwendo wapi haina
Naomba nielekeze mara ya mwisho maana nime uninstall so nikisha download nafuata step zipi[emoji85]
ThanksMarry Me Now
What Happens To My Family?
My Golden Life
Father, I’ll Take Care Of You
Wang’s Family
Hizo hapo hutajutia muda wako
Ya 2020 ni ujinga mtupu utoto mwingi sana storyline yake sio nzuri kabisa, kudownload ni kupoteza MB zakoKwa ambao tayari wameangalia TRAIN TO BUSAN, ipi ni nzuri kati ya ile ya 2016 na hii nyingine ya 2020.
Sawa najaribu tena nitajaribu na hiyo ya talnam..Download wiretun ambayo imeandikwa wire tun kisha chini yake yapo maneno wire tun network ipo play store. Ikifika connect ili upate server kisha hamia laini isiyo na bando ujaribu kama inakubali
Jaribu pia na ha tunnel plus sema file muombe talnam maana hii pia wanaisifia ipo vizuri. Nayo ipo play store
Mkuu tos maunyama ya ha tunnel maana wire tun mimi ishanishids haina spidi kabisa kwanguJaribu kutumia ha tunnel
Mimi hii ilinishinda siku ikususa unataman upasue simu. Ha tunnel imefanya PC imejaa yaan kuzifuta roho inauma, so natizama kwenye simu nafuta kesho na download mwendelezo.
Ila ni asubuh tu
Mamaa wa family dramaMarry Me Now
What Happens To My Family?
My Golden Life
Father, I’ll Take Care Of You
Wang’s Family
Hizo hapo hutajutia muda wako
Muongozo ni ule ule kama Wire Tun? Haki wakorea wanafanya tuwe wahujumu [emoji23][emoji23]Jaribu kutumia ha tunnel
Mimi hii ilinishinda siku ikususa unataman upasue simu. Ha tunnel imefanya PC imejaa yaan kuzifuta roho inauma, so natizama kwenye simu nafuta kesho na download mwendelezo.
Ila ni asubuh tu
Mimi pia wiretun ilinishinda, sasa hivi natumia ha tunnel inanifanyia amani sana[emoji1787][emoji1787]Muongozo ni ule ule kama Wire Tun? Haki wakorea wanafanya tuwe wahujumu [emoji23][emoji23]
Mkuu tos maunyama ya ha tunnel maana wire tun mimi ishanishids haina spidi kabisa kwangu
Ha tunel inakubali mtandao gan mkuuJaribu kutumia ha tunnel
Mimi hii ilinishinda siku ikususa unataman upasue simu. Ha tunnel imefanya PC imejaa yaan kuzifuta roho inauma, so natizama kwenye simu nafuta kesho na download mwendelezo.
Ila ni asubuh tu
Sure kabisaTangu waanze biashara ya kuongeza server kila kukicha wameshuka ubora sana
Toa madesa hayo mkuu tuzame huko wire tun hamna kitu kabisaMimi pia wiretun ilinishinda, sasa hivi natumia ha tunnel inanifanyia amani sana[emoji1787][emoji1787]
Inategemea na mda mkuu, asubui na usiku sana mwendo iko poa tofauti na hapo ni holaa.Wire Tun inawasumbua nyie tu aisee,mbona mimi ni ina speed hatari.
Naomba nielekeze..wire turn vidole vinawaka moto kila saa kuchungulia lohMimi pia wiretun ilinishinda, sasa hivi natumia ha tunnel inanifanyia amani sana[emoji1787][emoji1787]
Sio kwa muda,mimi natumia hii 24hrs na muda huu nadownload Gangnam Beauty yaani inapiga hadi 1.9+mbps ikishuka sana ni 500kbpsInategemea na mda mkuu, asubui na usiku sana mwendo iko poa tofauti na hapo ni holaa.
Imebidi niunge tu bundle kwa kweli..imenishinda tabia. Unatumia website gani kudownloadSio kwa muda,mimi natumia hii 24hrs na muda huu nadownload Gangnam Beauty yaani inapiga hadi 1.9+mbps ikishuka sana ni 500kbps
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app