Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sagulaga(chagua)

Rookie Historian Goo Hae Ryung
Episode 39-40

Forest
Episode 32

Hospital PlaylistHi Bye, Mama!
Episode 16


Hi Bye, Mama!
Episode 16

While You Were Sleeping
Episode 32

Descendants of the Sun
Episode 16

Fight for My Way
Episode 16


Hwarang

Episode 20


What's Wrong With Secretary Kim
Episode 16

Touch Your Heart
Episode 16


Bring It On, Ghost
Episode 16


Healer
Episode 20


Romantic Doctor, Teacher Kim 2
Episode 16


The Liar and His Lover
Episode 16


RADIO ROMANCE
Episode 16

100 Days My Prince
Episode 16

The King in Love
Episode 40


My Sassy Girl (2017)
Episode 32


Coffee Prince
Episode 17



To The Beautiful You
Episode 16
 
Siku hizi kuna nini mbona sizipati Korean drama Youtube kama zamani ? maana nilikuwa na mtindo wa kumaliza sizoni YouTube sasa mpk za zamani zilizokuwa Youtube sizipati.
 
Sagulaga(chagua)

Rookie Historian Goo Hae Ryung
Episode 39-40

Forest
Episode 32

Hospital PlaylistHi Bye, Mama!
Episode 16


Hi Bye, Mama!
Episode 16

While You Were Sleeping
Episode 32

Descendants of the Sun
Episode 16

Fight for My Way
Episode 16


Hwarang

Episode 20


What's Wrong With Secretary Kim
Episode 16

Touch Your Heart
Episode 16


Bring It On, Ghost
Episode 16


Healer
Episode 20


Romantic Doctor, Teacher Kim 2
Episode 16


The Liar and His Lover
Episode 16


RADIO ROMANCE
Episode 16

100 Days My Prince
Episode 16

The King in Love
Episode 40


My Sassy Girl (2017)
Episode 32


Coffee Prince
Episode 17



To The Beautiful You
Episode 16
Nakupenda Numbisa😘
 
Itakua Mambo ya copyrights. Nenda google tafuta kimoitv,nkiri utazikuta humo
Siku hizi kuna nini mbona sizipati Korean drama Youtube kama zamani ? maana nilikuwa na mtindo wa kumaliza sizoni YouTube sasa mpk za zamani zilizokuwa Youtube sizipati.
 
Aisee wire huwa inanibariki sana usiku kuanza saa tisa hadi saa 12 alfajiri

Unashusha epsode tano au sita za siku nzima na kesho tena unashusha mzigo

Huwa na natumia server za marekani hasa ile NY
 
Kwa wale waliokosa kuangalia series za maana itafute hii "Whisper"
Hii inahusu judge mmoja ambaye inajulikana ni mtu wa kutoa hukumu kwa haki anajikuta anatakiwa atoe hukumu kwa baba mmoja ambaye hana hatia kwa ushahidi aliooneshwa na binti wa huyo baba lakini kutokana na kutishiwa kufukuzwa hiyo position yake na watu wazito kama atamuachia huyo baba kuwa free anajikuta anapindisha haki iliawaridhishe hao wazito kwa kumuhukumu yule baba na anajua kabisa hana kosa.



Baada ya kufanya hivyo yule binti wa yule baba Siku moja amtegeshea mtego yule judge akiwa amelewa ana muingiza hotelini akirecord akiwa kama anafanya nae ngono na kumtishia kwamba kama hatamtafuta mtu aliyemfanya baba yake ionekane ameua atarusha hiyo video public, binti ameamua amtumie huyu judge kwa kuwa alishagundua muhusika wa baba yake anahisi atakuwa anatoka kwenye idara ya huyo judge


Unadhani huyo Judge atakaa upande upi wa watu wazito au wa huyo binti na kama akiamua achukue side mmoja nini kitatokea? Hii Korea drama ni hatari alafu ndio kwanza nipo episode 2 na moto upo kama hivi ni aina ya drama ina genre karibia zote kuna romance, action, investigation and etc Huu mzigo upo full package.

Numbisa
Mac Alpho
adriz
missyrose
The imp
talnam
 
Aisee wire huwa inanibariki sana usiku kuanza saa tisa hadi saa 12 alfajiri

Unashusha epsode tano au sita za siku nzima na kesho tena unashusha mzigo

Huwa na natumia server za marekani hasa ile NY
Kuna wire nyingine ya siri nini ?mbona wire yangu haitoboi hata dkk 10 inakata na hiyo Server haipo kabisa.
 
Msaada wa wapi naweza download nyimbo za kikorea, nna hii playlist lakin youtube ina limit
Zama Ilkpop.com unapata zote,hii total songs yote yangu ni za Kikorea tupu
Screenshot_20220530-150032.jpg
 
Back
Top Bottom