talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Zama Ilkpop.com unapata zote,hii total songs yote yangu ni za Kikorea tupuView attachment 2244408
Asante sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zama Ilkpop.com unapata zote,hii total songs yote yangu ni za Kikorea tupuView attachment 2244408
Naomba majina ya series Kali Kali zenye storyline nzuri za kikoreaNdiyo
Zipi zile various artist za Im Se Hyun ama ile ya Jang Nara PromiseAiseeh OST ya kwenyr series ya Don Yi ni hatari aseeh.
Jang Nara anaimba?Zipi zile various artist za Im Se Hyun ama ile ya Jang Nara Promise
Kwenyr swala la kuimba ni noma huyo mdada.Jang Nara anaimba?
Ile ya Jang Nara ni moto mkuu.Zipi zile various artist za Im Se Hyun ama ile ya Jang Nara Promise
Ndio nilienda kumgugo nikashangaa, sikuwahi kujuaKwenyr swala la kuimba ni noma huyo mdada.
Mastaa wengi wa filamu Korea wanaimba vizuri ila hawajajikita sana kama Jo Hyun Jae kuna OST moja ya 49 days sikuamini kama kaimba yeye.Ndio nilienda kumgugo nikashangaa, sikuwahi kujua
Kimoi, nkiri, mpk sasa ndo my best sites for movies and series zenye high quality for less mbs.Mna moyo sana aiseeh, mimi nakereka hadi natamani kutupa simu chini. Hiyo website siwezi kuridi tena.
Jang Nara anaimba?
Kama walivyohamasisha Bullying sasa wajiandane watoto wao kupigana mimba sana na hali hata hawaanzagi mapenzi mapemaMr sunshine ndani ya our blues mkorofi sana sio kwa kufukuza wateja kule. Naona drama za kikorea zimeingia kwenye mkumbo wa kuhamasisha mimba mashuleni. Tunakoelekea duh ni giza tupu
Kwa taaabuu nimeimaliza the devil judge,kwa burudani kidogo nikakoleza ka family drama ka smile you(ka zamani kidogo,ila kazuri)
Kama walivyohamasisha Bullying sasa wajiandane watoto wao kupigana mimba sana na hali hata hawaanzagi mapenzi mapema
Shida ni kwao zinapitishwa tu na zikiwa nje ya mstari Netizens huwa wanawasha moto.Wana bullying mbaya sana,anzia chekechea mpaka makazini. Ile bullying ya all of us are dead ilipitiliza mipaka daah sikuipenda
Viburi kwa watoto,vitoto havina heshima kabisa kwa wazazi wao. Kila drama mtoto ndo anamuendesha mzazi sio jambo zuri kabisa
Drama zao zipitie kwenye ukaguzi mkali.
Mkuu unawajua mastaa wa kikorea kama woteMastaa wengi wa filamu Korea wanaimba vizuri ila hawajajikita sana kama Jo Hyun Jae kuna OST moja ya 49 days sikuamini kama kaimba yeye.
Ji Chang Wook,Seo In Guk,Lee Seung Gi,Jung Yong Hwa huyu yupo kote kwenye kpop pia kundi la CNBLUE,Rain,Song Ji Eun,Lee Yuri,n.k
In short wengi ni multi-talented
Jamani nimeshangaa nimeingia nkiri naambiwa eti nevertheless ni ongoing, hii drama si ya siku nyingi sana?
Sijajua genre gani unapendelea binafsi mimi ni napenda medical drama, za ma psychopath, love story, na za historical n. KNaomba majina ya series Kali Kali zenye storyline nzuri za kikorea
Asante mkuu za medical drama sizipendi pamoja na za horroy na fantasy napenda za love story, Politics, thriller, suspense na actionsSijajua genre gani unapendelea binafsi mimi ni napenda medical drama, za ma psychopath, love story, na za historical n. K
Jaribu zifuatazo kwa upande wangu naona zna story kali..
1.Doctor stranger
2.Gu family
3.Moon embracing the sun
4.My love from another star
5.Faith
6.Tell me What you saw
7.Voice 4
8.Vagabond
9.The world of married couple
10.. young pal, za hivi karbun sijazangalia. wengne waongezee,,ila ungesema genre ipo unapendelea ili wakutajie drama husika