DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
kuna makjang inaitwa the last empress pia nimeiangalia ukiondoa fated to love you. sikubahatika kuziangalia episode zoteMimi nimeona moja tu Fated to love you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna makjang inaitwa the last empress pia nimeiangalia ukiondoa fated to love you. sikubahatika kuziangalia episode zoteMimi nimeona moja tu Fated to love you
wote wanapenda kubebwa mgongoni (piggyback)Wanawake wa kikorea wanachukia vingi mpaka naona ni kazi mno kuwaelewa ila vingine wanabuni kwa manufaa yao ya ubinafsi(uchoyo tu)
🤣🤣🤣🤣 Ukiingiza masuala ya empress ki unazidi kunitia uchungu wa mwanadada ha ji won mdada ambaye madirectors wengi hawamtendei haki kiuchezaji ukitoa empress ki hakuna series ya maana niliona huyu actress wamempa hii inanipa huzuni Sanani kwa sababu hajaigiza empress ki ndio maana huzikumbuki drama zake.
Yah mi ni shabiki wa kiume [emoji23]google wameniambia neno fanboy lina maana ya shabiki wa kiume juu ya jambo husika mfano muziki n.k. Je wewe ni mwanaume au nimeelewa vibaya andiko lako. Siku zote nakuchukulia wewe ni jinsia ya kike. Mwengine ni huyo aliyeweka avatar ya lee seung gi nafikiri ni mqaxy. Hivi Khantwe wewe ni keee au mbuzi meee. Nakusalimia mchumba wa siri wa marehemu said mabastola.
Angalia A Man In A Veil kama bado hujatazama ni touching sana kiasi kwamba kijana wa Dar akiangalia anaweza kulia[emoji16]Mwenye recommendations ya drama nzuri hasa family drama naomba please.
Siku hizi nipo addicted na kudownload kuliko kuangalia hadi najihurumia.
Kuna Go Back Couple hiyo naona ndio imefanya aseme kwamba anachezaga sad dramas.kuna makjang inaitwa the last empress pia nimeiangalia ukiondoa fated to love you. sikubahatika kuziangalia episode zote
Angalia A Man In A Veil kama bado hujatazama ni touching sana kiasi kwamba kijana wa Dar akiangalia anaweza kulia[emoji16]
niruhusu nikupe heshima ya mwalimuYah mi ni shabiki wa kiume [emoji23]
Napenda Red Velvet,fromis_9,Twice,DIA,Rocketpunch,Dreamnote n.k
Haina tatizo[emoji16]niruhusu nikupe heshima ya mwalimu
kamsahaeyoHaina tatizo[emoji16]
a hiyo avatar yako ya mwanadada park eun bin aliyevalia hanbok nayo imechangia kunitia ujingani kwa kuamini wewe ni mwanamke. ukiunganisha na analysis zako za drama hiyo na ile fiction inayomzungumzia YI SAN na concubine wake. Teh teh tehYah mi ni shabiki wa kiume [emoji23]
Napenda Red Velvet,fromis_9,Twice,DIA,Rocketpunch,Dreamnote n.k
Yah halafu huwa najisahau hata kuangalia kabisa tangu niiweke muda enzi hizo hata The King's Affection haitarajii kuishaa hiyo avatar yako ya mwanadada park eun bin aliyevalia hanbok nayo imechangia kunitia ujingani kwa kuamini wewe ni mwanamke. ukiunganisha na analysis zako za drama hiyo na ile fiction inayomzungumzia YI SAN na concubine wake. Teh teh teh
nikiwa na mzuka wa k-pop hupendelea kusikiliza playlist za MAMAMOO, BIGBANG, SUPER JUNIOR, EXO. Navutiwa zaidi na ballad songs na ost kuliko kpop.Yah mi ni shabiki wa kiume [emoji23]
Napenda Red Velvet,fromis_9,Twice,DIA,Rocketpunch,Dreamnote n.k
Ballads ndio nilipoanzia mimi kupenda hizi nyimbo baada ya kuangalia Faith kuna ngoma moja inaitwa Because my steps are slow ya Shin Yong Jae pamoja na Alive Even In Death ya Wheesung theme song ya Kingdom Of The Wind.nikiwa na mzuka wa k-pop hupendelea kusikiliza playlist za MAMAMOO, BIGBANG, SUPER JUNIOR, EXO. Navutiwa zaidi na ballad songs na ost kuliko kpop.
Huyu wheesung kesi yake ilitoka na hukumu ganiBallads ndio nilipoanzia mimi kupenda hizi nyimbo baada ya kuangalia Faith kuna ngoma moja inaitwa Because my steps are slow ya Shin Yong Jae pamoja na Alive Even In Death ya Wheesung theme song ya Kingdom Of The Wind.
Hapa nikaanza kuzifuatilia sana na nilikuwa sipendi Kpop nimeanza kuwa shabiki wake 2018.
Niseme ukweli nna ngoma kama 1200 hivi lakini zote ni Korean songs nikizigawa kwa asilimia Ballads zinacheza 80%na inayobakia ndio Kpop huwa nachukua main tracks za comeback zao na Music Video.
Nakumbuka walimpiga kifungo cha miaka miwili ila sina uhakika kama cha kutumikia ndani ya jela ama cha nje.Huyu wheesung kesi yake ilitoka na hukumu gani
Na meteor garden 🙌Hamna plot ya drama inayoniumizaga moyo kama hii ya Mtoto wa Kike toka familia masikini anapendana na Kijana wa Kitajiri ila anapitia kashkash na discrimination toka familia ya mwanaume kwamba aachane na kijana wao kwa sababu ya poor background yake.
Nimeiona kwenye drama kadhaa mfano Choi Jin Hyuk na Lim Ju Eun kwenye The Heirs.
Shin Se Kyung na Im Si Wan kwenye Run On.
Kuna nyingine zimenitoka nishaona nyingi anyway wanapenda hii plot kwenye Korean Dramas sisi tushazoeaga zile za Zali La Mentali.