Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ni kwa sababu hajaigiza empress ki ndio maana huzikumbuki drama zake.
🤣🤣🤣🤣 Ukiingiza masuala ya empress ki unazidi kunitia uchungu wa mwanadada ha ji won mdada ambaye madirectors wengi hawamtendei haki kiuchezaji ukitoa empress ki hakuna series ya maana niliona huyu actress wamempa hii inanipa huzuni Sana
 
google wameniambia neno fanboy lina maana ya shabiki wa kiume juu ya jambo husika mfano muziki n.k. Je wewe ni mwanaume au nimeelewa vibaya andiko lako. Siku zote nakuchukulia wewe ni jinsia ya kike. Mwengine ni huyo aliyeweka avatar ya lee seung gi nafikiri ni mqaxy. Hivi Khantwe wewe ni keee au mbuzi meee. Nakusalimia mchumba wa siri wa marehemu said mabastola.
Yah mi ni shabiki wa kiume [emoji23]

Napenda Red Velvet,fromis_9,Twice,DIA,Rocketpunch,Dreamnote n.k
 
a hiyo avatar yako ya mwanadada park eun bin aliyevalia hanbok nayo imechangia kunitia ujingani kwa kuamini wewe ni mwanamke. ukiunganisha na analysis zako za drama hiyo na ile fiction inayomzungumzia YI SAN na concubine wake. Teh teh teh
 
Yah halafu huwa najisahau hata kuangalia kabisa tangu niiweke muda enzi hizo hata The King's Affection haitarajii kuisha
 
Hamna plot ya drama inayoniumizaga moyo kama hii ya Mtoto wa Kike toka familia masikini anapendana na Kijana wa Kitajiri ila anapitia kashkash na discrimination toka familia ya mwanaume kwamba aachane na kijana wao kwa sababu ya poor background yake.

Nimeiona kwenye drama kadhaa mfano Choi Jin Hyuk na Lim Ju Eun kwenye The Heirs.

Shin Se Kyung na Im Si Wan kwenye Run On.

Kuna nyingine zimenitoka nishaona nyingi anyway wanapenda hii plot kwenye Korean Dramas sisi tushazoeaga zile za Zali La Mentali.
 
nikiwa na mzuka wa k-pop hupendelea kusikiliza playlist za MAMAMOO, BIGBANG, SUPER JUNIOR, EXO. Navutiwa zaidi na ballad songs na ost kuliko kpop.
Ballads ndio nilipoanzia mimi kupenda hizi nyimbo baada ya kuangalia Faith kuna ngoma moja inaitwa Because my steps are slow ya Shin Yong Jae pamoja na Alive Even In Death ya Wheesung theme song ya Kingdom Of The Wind.

Hapa nikaanza kuzifuatilia sana na nilikuwa sipendi Kpop nimeanza kuwa shabiki wake 2018.

Niseme ukweli nna ngoma kama 1200 hivi lakini zote ni Korean songs nikizigawa kwa asilimia Ballads zinacheza 80%na inayobakia ndio Kpop huwa nachukua main tracks za comeback zao na Music Video.
 
Huyu wheesung kesi yake ilitoka na hukumu gani
 
Hamna plot ya drama inayoniumizaga moyo kama hii ya Mtoto wa Kike toka familia masikini anapendana na Kijana wa Kitajiri ila anapitia kashkash na discrimination toka familia ya mwanaume kwamba aachane na kijana wao kwa sababu ya poor background yake.

Nimeiona kwenye drama kadhaa mfano Choi Jin Hyuk na Lim Ju Eun kwenye The Heirs.

Shin Se Kyung na Im Si Wan kwenye Run On.

Kuna nyingine zimenitoka nishaona nyingi anyway wanapenda hii plot kwenye Korean Dramas sisi tushazoeaga zile za Zali La Mentali.
Na meteor garden 🙌
 
Back
Top Bottom