Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sie wa ongoin tumemalizana na libertaion Notes
Ingizo jipya ni eve huku nasubir yumi’s cells2.

Mi kutizama drama zizoisha pekee nashindwa hadi niitazame pamoja na ongoing, najikuta naskip balaa.

Ile tomorrow vip niliianza ikawa kama ile sisyphus myth na alice nikaiweka pemben maana huwa kichwa kinauma na drama sci-fi ila dramanice comment inasifiwa had inanipa mzuka
 
Binafsi za sci-fi sizipendi wala sijiangaishi kuziangalia Hata wasifie vipi
 
Natumia ha tunnel cha asubuh. nimeset german 3128.

File natoa telegram grup la ha tunnel tz(ukiclick kwenye heading ya group utakutana na menu mbali mbali click files tafuta lililoandikwa hat,yapo mbali mbali kila siku utabidili utakavyo mpaka upate utakaloona ni zuri)
Una download kutumia nini..nami nipige moyo konde
 
Natumia ha tunnel cha asubuh. nimeset german 3128.

File natoa telegram grup la ha tunnel tz(ukiclick kwenye heading ya group utakutana na menu mbali mbali click files tafuta lililoandikwa hat,yapo mbali mbali kila siku utabidili utakavyo mpaka upate utakaloona ni zuri)
Kutafuta hayo ma file ndo kazi au labda nayopata mimi ndo hayafanyi kazi[emoji23]

Nitajaribu tena maana nilisha uninstall kwa hasira
 
leo nimetumia kompyuta mpakato kuingia ndani ya tovuti ya JF, nimekutana na hili balaa, screen yangu imegawanywa pande mbili bila ya sababu za msingi.

hizo cards zilizoandikwa majina ya majukwaa sijaona umuhimu wake
View attachment 2251378
Mkuu msaada tutani, link ya kudownload series ya yeon gaesomun yenye data usawa wa mama samia
 
Back
Top Bottom