Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji1787][emoji1787] hivi inawezekanaje mtu ukumbuke character alizocheza halafu drama usahau?ni kwa sababu hajaigiza empress ki ndio maana huzikumbuki drama zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787] hivi inawezekanaje mtu ukumbuke character alizocheza halafu drama usahau?ni kwa sababu hajaigiza empress ki ndio maana huzikumbuki drama zake.
Daah tungekuwa tunakaa wote ningekuwa naangalia tuMwenye recommendations ya drama nzuri hasa family drama naomba please.
Siku hizi nipo addicted na kudownload kuliko kuangalia hadi najihurumia.
Daah tungekuwa tunakaa wote ningekuwa naangalia tu
Itafute Moja hivi Kali inaitwa Dangerous Promise au kea jina lingine inaitwa fatal Promise ni nzuri mnoMwenye recommendations ya drama nzuri hasa family drama naomba please.
Siku hizi nipo addicted na kudownload kuliko kuangalia hadi najihurumia.
Hiyo inatokea hasa ikiwa ujaipenda hiyo drama[emoji1787][emoji1787] hivi inawezekanaje mtu ukumbuke character alizocheza halafu drama usahau?
Itafute Moja hivi Kali inaitwa Dangerous Promise au kea jina lingine inaitwa fatal Promise ni nzuri mno
Binafsi za sci-fi sizipendi wala sijiangaishi kuziangalia Hata wasifie vipiSie wa ongoin tumemalizana na libertaion Notes
Ingizo jipya ni eve huku nasubir yumi’s cells2.
Mi kutizama drama zizoisha pekee nashindwa hadi niitazame pamoja na ongoing, najikuta naskip balaa.
Ile tomorrow vip niliianza ikawa kama ile sisyphus myth na alice nikaiweka pemben maana huwa kichwa kinauma na drama sci-fi ila dramanice comment inasifiwa had inanipa mzuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wire nyingine ya siri nini ?mbona wire yangu haitoboi hata dkk 10 inakata na hiyo Server haipo kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejiuliza kama mimi aisee..kwa sasa imebidi nipumzike hata ku download maana VPN zote zimenigomea
Binafsi za sci-fi sizipendi wala sijiangaishi kuziangalia Hata wasifie vipi
Una download kutumia nini..nami nipige moyo kondeNi ile ile sema huwa inajiupdate hasa ukiingia sana playstore kufanya update za appl mbali mbali.
Mie naitumia kuperuzi tu,kudownload ipo slow sana
Una download kutumia nini..nami nipige moyo konde
Kutafuta hayo ma file ndo kazi au labda nayopata mimi ndo hayafanyi kazi[emoji23]Natumia ha tunnel cha asubuh. nimeset german 3128.
File natoa telegram grup la ha tunnel tz(ukiclick kwenye heading ya group utakutana na menu mbali mbali click files tafuta lililoandikwa hat,yapo mbali mbali kila siku utabidili utakavyo mpaka upate utakaloona ni zuri)
Kutafuta hayo ma file ndo kazi au labda nayopata mimi ndo hayafanyi kazi[emoji23]
Nitajaribu tena maana nilisha uninstall kwa hasira
Mkuu msaada tutani, link ya kudownload series ya yeon gaesomun yenye data usawa wa mama samialeo nimetumia kompyuta mpakato kuingia ndani ya tovuti ya JF, nimekutana na hili balaa, screen yangu imegawanywa pande mbili bila ya sababu za msingi.
hizo cards zilizoandikwa majina ya majukwaa sijaona umuhimu wake
View attachment 2251378