Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Hiyo bridal mask nimeicheki kitambo sana na ni moja ya series iliyonifanya nianze kupenda Kdrama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo bridal mask nimeicheki kitambo sana na ni moja ya series iliyonifanya nianze kupenda Kdrama
Angalia hata Fate & Fury sio mbaya pia Hold Me Tight nayo inatazamika.Ndugu zangu naomba tusaidiane nahitaji korean drama Kali nicheki weekend Hii angalizo sipendi ziwe na hiv vitu
✓story za kitoto mfano unakuta mapenzi wameanzia watoto baadae wanakutana wakiwa wakubwa drama yenye story ya namna hii sitaki
✓Zenye genre ya fantasy tu sizitaki other genre yes
✓sipendi zenye maudhui ya comedy au main characters wawe Watu wa comedy au akili hamnazo napenda main characters wawe serious labda comedy wafanyie supportive characters
✓Sipendi zenye ushoga
✓Sipendi pia zilizochezwa na teenagers hata ziwe nzuri kiasi gani
Nafikiri angalizo langu umeelewa maana kila mtu ana aina yake ya drama kutokana aina zangu za drama Ndio maana nikavutiwa na drama kama Watcher, K2, VIP,The empress ki, dangerous wife, innocent defendant, Vagabong, money flower, Woman of 9.9 billions, incarnation of money, Whisper, The last, three,hunter city, hidden identity n.k
Hapo mtakuwa mmenielewa haya naombeni mnishushia hizo drama Kali zenye storyline nzuri
Numbisa
missyrose
Daemushin
Mac Alpho
Franky Samuel
talnam
Lax
Asante mkuu kwa kunipa hizo ila hiyo aya yako ya mwisho umenichekesha Sana aisee.Ni kweli Unaweza kukuta utoto kwenye drama lakin mimi sipendi zifanywe na main characters Hilo tu labda uwe kea wahusika wasaidizi hapo sawa nikikuta zinafanywa na wahusika wakuu hiyo drama siwezi kuangalia kabisa ingawa pia zipo ambazo hazina utoto kabisa kama The veil, innocent defendant n.kAngalia hata Fate & Fury sio mbaya pia Hold Me Tight nayo inatazamika.
Ila kukuta kdrama haina utoto ni kama kukosa mlinzi wa getini ambaye nati kichwani zimelegea kwenye Bongo Movie
Ndugu zangu naomba tusaidiane nahitaji korean drama Kali nicheki weekend Hii angalizo sipendi ziwe na hiv vitu
✓story za kitoto mfano unakuta mapenzi wameanzia watoto baadae wanakutana wakiwa wakubwa drama yenye story ya namna hii sitaki
✓Zenye genre ya fantasy tu sizitaki other genre yes
✓sipendi zenye maudhui ya comedy au main characters wawe Watu wa comedy au akili hamnazo napenda main characters wawe serious labda comedy wafanye supportive characters
✓Sipendi zenye ushoga
✓Sipendi pia zilizochezwa na teenagers hata ziwe nzuri kiasi gani
Nafikiri angalizo langu umeelewa maana kila mtu ana aina yake ya drama kutokana aina zangu za drama Ndio maana nikavutiwa na drama kama Watcher, K2, VIP,The empress ki, dangerous wife, innocent defendant, Vagabong, money flower, Woman of 9.9 billions, incarnation of money, Whisper, The last, three,hunter city, hidden identity n.k
Hapo mtakuwa mmenielewa haya naombeni mnishushia hizo drama Kali zenye storyline nzuri
Numbisa
missyrose
Daemushin
Mac Alpho
Franky Samuel
talnam
Lax
Sio suala la masharti ni suala unapenda kitu gani binafsi nkishaona drama Kali nitakuja humu jukwaani nitaeleza kwa kifupi story nzima ya hiyo drama kwasababu najua sio kila kitu ninachopenda mimi na wengine wanapenda na ndio maana siishii tu kumtajia mtu jina la drama bali namuwekea na story kabisa kama atavutiwa nayo ataicheki au lah! Dada yangu sasa mb zimepanda Sana na wewe unajua kuweka hizo condition za drama inamrahisishia hata atayenitajia kuliko kutaja tu majina ya drama bila kujua mimi napenda zenye taste gani, dada yangu asiwe na nongwa kama unataka kunisadia we ni saidie tu mbona hapo juu mdau kanielewa na kanitajiaNdugu yake sadala,siku ukiwa unatafuta hizo drama nitoe kwenye tags zako una masharti utadhani unawasaidia kuwalipa au kuwapa matangazo ya biashara au kusponsor sites zinazokupa drama bure kabisa bila tozo kama za Netflix
3 daysNdugu zangu naomba tusaidiane nahitaji korean drama Kali nicheki weekend Hii angalizo sipendi ziwe na hiv vitu
✓story za kitoto mfano unakuta mapenzi wameanzia watoto baadae wanakutana wakiwa wakubwa drama yenye story ya namna hii sitaki
✓Zenye genre ya fantasy tu sizitaki other genre yes
✓sipendi zenye maudhui ya comedy au main characters wawe Watu wa comedy au akili hamnazo napenda main characters wawe serious labda comedy wafanye supportive characters
✓Sipendi zenye ushoga
✓Sipendi pia zilizochezwa na teenagers hata ziwe nzuri kiasi gani
Nafikiri angalizo langu umeelewa maana kila mtu ana aina yake ya drama kutokana aina zangu za drama Ndio maana nikavutiwa na drama kama Watcher, K2, VIP,The empress ki, dangerous wife, innocent defendant, Vagabong, money flower, Woman of 9.9 billions, incarnation of money, Whisper, The last, three,hunter city, hidden identity n.k
Hapo mtakuwa mmenielewa haya naombeni mnishushia hizo drama Kali zenye storyline nzuri
Numbisa
missyrose
Daemushin
Mac Alpho
Franky Samuel
talnam
Lax
Ndugu zangu naomba tusaidiane nahitaji korean drama Kali nicheki weekend Hii angalizo sipendi ziwe na hiv vitu
✓story za kitoto mfano unakuta mapenzi wameanzia watoto baadae wanakutana wakiwa wakubwa drama yenye story ya namna hii sitaki
✓Zenye genre ya fantasy tu sizitaki other genre yes
✓sipendi zenye maudhui ya comedy au main characters wawe Watu wa comedy au akili hamnazo napenda main characters wawe serious labda comedy wafanye supportive characters
✓Sipendi zenye ushoga
✓Sipendi pia zilizochezwa na teenagers hata ziwe nzuri kiasi gani
Nafikiri angalizo langu umeelewa maana kila mtu ana aina yake ya drama kutokana aina zangu za drama Ndio maana nikavutiwa na drama kama Watcher, K2, VIP,The empress ki, dangerous wife, innocent defendant, Vagabong, money flower, Woman of 9.9 billions, incarnation of money, Whisper, The last, three,hunter city, hidden identity n.k
Hapo mtakuwa mmenielewa haya naombeni mnishushia hizo drama Kali zenye storyline nzuri
Numbisa
missyrose
Daemushin
Mac Alpho
Franky Samuel
talnam
Lax
Ya kikoreaHiyo THREE ni ile ya Kichina?
Mbona mwamba unashindwa kunipa listHiyo THREE ni ile ya Kichina?
Asante mkuu au huwezi kunitajia nyingine nahisi hiyo nimeiyona tayari3 days
Sio suala la masharti ni suala unapenda kitu gani binafsi nkishaona drama Kali nitakuja humu jukwaani nitaeleza kwa kifupi story nzima ya hiyo drama kwasababu najua sio kila kitu ninachopenda mimi na wengine wanapenda na ndio maana siishii tu kumtajia mtu jina la drama bali namuwekea na story kabisa kama atavutiwa nayo ataicheki au lah! Dada yangu sasa mb zimepanda Sana na wewe unajua kuweka hizo condition za drama inamrahisishia hata atayenitajia kuliko kutaja tu majina ya drama bila kujua mimi napenda zenye taste gani, dada yangu asiwe na nongwa kama unataka kunisadia we ni saidie tu mbona hapo juu mdau kanielewa na kanitajia
Flower of evilAsante mkuu au huwezi kunitajia nyingine nahisi hiyo nimeiyona tayari
Ijaribu Insider on going ina ep 4 mpka sasaNdugu zangu naomba tusaidiane nahitaji korean drama Kali nicheki weekend Hii angalizo sipendi ziwe na hiv vitu
✓story za kitoto mfano unakuta mapenzi wameanzia watoto baadae wanakutana wakiwa wakubwa drama yenye story ya namna hii sitaki
✓Zenye genre ya fantasy tu sizitaki other genre yes
✓sipendi zenye maudhui ya comedy au main characters wawe Watu wa comedy au akili hamnazo napenda main characters wawe serious labda comedy wafanye supportive characters
✓Sipendi zenye ushoga
✓Sipendi pia zilizochezwa na teenagers hata ziwe nzuri kiasi gani
Nafikiri angalizo langu umeelewa maana kila mtu ana aina yake ya drama kutokana aina zangu za drama Ndio maana nikavutiwa na drama kama Watcher, K2, VIP,The empress ki, dangerous wife, innocent defendant, Vagabong, money flower, Woman of 9.9 billions, incarnation of money, Whisper, The last, three,hunter city, hidden identity n.k
Hapo mtakuwa mmenielewa haya naombeni mnishushia hizo drama Kali zenye storyline nzuri
Numbisa
missyrose
Daemushin
Mac Alpho
Franky Samuel
talnam
Lax
Asante sanaFlower of evil
Huyo nimeshaicheki nasubiri ep ya 5 vipi kama kuna zingine unazijua tiririka tu mkuuIjaribu Insider on going ina ep 4 mpka sasa
Unanongwa sana we bidada sijui nimekukosea nini? Mbona wenzako sijaona wakilalamika ila ni wewe tu hapo angekuwa ni Daemushin usingetoa Hilo povu kama unaona kuna sehemu nimekukwaza ebu kuwa muwazi ilituyamalize sitaki niwe kikwazo kwa wengineUjumbe umeshakufikia.
Unanongwa sana we bidada sijui nimekukosea nini? Mbona wenzako sijaona wakilalamika ila ni wewe tu hapo angekuwa ni Daemushin usingetoa Hilo povu kama unaona kuna sehemu nimekukwaza ebu kuwa muwazi ilituyamalize sitaki niwe kikwazo kwa wengine