Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana misimamo kama wanavyoonyesha kwenye drama zao,atakayepewa mgao mkubwa ndie mwenye sauti na kuamua kila kitu. Kama ilivyo bongo na kwao ni vile vile kwenda ulaya dili kubwa sanaKwanini
Izi western platform wanavohusika na ndugu zetu wakorea muelekeo wake sio mzuri huko baadae
Bonge moja la series ungeenda nayo hadi mwisho usingejutia MB zakoJang yeong sil nahisi ndio muvi pekee ya mwanangu Song ll gook ambayo sikuimalizia , sijui kwa nini niliona imepoa sana sikuwa na mzuka wa kuendelea nayo niliishia episode ya 3.
Ngoja niirudie upya..Bonge moja la series ungeenda nayo hadi mwisho usingejutia MB zako
Wasije wakaanza kuzihujumu tu na historicalWakorea wanabanwa sana kwenye copyrights,wao wakiiga wanasimamiwa kila kitu ila wakiigwa hawana haki ya kusimamia chochote wala kuweka aigoo zao mule.
Hawana misimamo kama wanavyoonyesha kwenye drama zao,atakayepewa mgao mkubwa ndie mwenye sauti na kuamua kila kitu. Kama ilivyo bongo na kwao ni vile vile kwenda ulaya dili kubwa sana
Binafsi nimependa uhusika wa Park Hae Soo (Berlin). Kacheza vizuri sana kwenye hiyo nafasi.
Tuzingatie hayo maandishi kwenye subtitles. View attachment 2273008
Mambo ni yaleyale kutoka kwenye OG yake.
Nimeshusha episodes zote 6, laiti ningejua ndio yaleyale nisinge hangaika nayo. View attachment 2271712
Apa tunazungumzia kwa kwa site iliyoweka download link kwa sequenceJioni nitawasilisha mbinu ya kupakua episode nyingi kwa mpigo kwa site pendwa ya kimoiTv kupitia idm+
Jamaa Berlin walipomfungia walipopata tatizo ndio wakajua jamaa anafaa kuwa kiongozi wa. Heist mzee wa kuleta fear[emoji23][emoji23].... Waiting part 2Binafsi nimependa uhusika wa Park Hae Soo (Berlin). Kacheza vizuri sana kwenye hiyo nafasi.
Tuzingatie hayo maandishi kwenye subtitles. View attachment 2273008
Vipi umeimalizia? Nimeangalia episode mbili naona maruweruwe...1.hekaheka nyingi watu wanakimbia hovyoHii sababu ikafanya nisiendelee na hii series [emoji23][emoji23]
Nimeishia episode ya 3 nikaona simuelewi mdada nimeipumzisha kwanza
Vipi umeimalizia? Nimeangalia episode mbili naona maruweruwe...1.hekaheka nyingi watu wanakimbia hovyo
2.kile ki bok joo kinaongea harakaharaka kinanipa wakati mgumu kusoma subtitles
3. Yule actor wa kiume sijampenda wala
Numbisa ameisifia ila naona itanishinda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jumong mimi mwenyewe sijawahi kuimaliza, kwanza nilianzia katikati nikaishia hapohapo katikati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nimeipenda yote. Ila kama imekushinda nisikupe matumaini hewa. Mfano Mie hadi muda huu bado sielewi hivi jumong inanishindaje yaani sijawahi vuka episode ya tano kila nikifika hapo nafuta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jumong mimi mwenyewe sijawahi kuimaliza, kwanza nilianzia katikati nikaishia hapohapo katikati
Hivi kuna mtu humu anaangaliaga Chinese dramas?
[emoji23][emoji23][emoji23]ila ni nzuri sana kuna hii imekaa kama romantic ila ina Kisanga ndaniHuwa naziona YouTube vipande vipande. Nilijaribu zile za kissiassian zikanishinda kwanza majina yao magumu
Inaitwaje?[emoji23][emoji23][emoji23]ila ni nzuri sana kuna hii imekaa kama romantic ila ina Kisanga ndaniView attachment 2275458
[emoji23][emoji23][emoji23]ila ni nzuri sana kuna hii imekaa kama romantic ila ina Kisanga ndaniView attachment 2275458
Fall In LoveInaitwaje?