Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Tangu asubuhi nahaha kusaka romantic story nzuri maana nisbaangalia dramas nyingi sana ila kuna baadhi najua sijacheki hebu wekeni kama 10 ama 20 ila zisiwe na kiss za moto sana kama anazopigana Yumi[emoji23]
My absolute boyfriend umeiona?
 
Umenikumbusha kitu kuna rafiki yangu mmoja ana duka la kutafsiri movie pia ana laptop zenye hizo pia zilizotafsiriwa kuna siku nimemkuta anacheki series ya kikorea imeandikwa my fiance binafsi nikatokea kuipenda nikasema nitaitafuta ndugu nilihitafuta websites zote za kikorea sijaipata mpaka nikachoka baadae nikaja kujua kumbe wanabadilisha majina halisi ya movie nilichoka Sana lakini mpaka Leo sijafanikiwa kupata jina halisi la hiyo my fiance ila ilikuwa inahusu kufake marriage
Iyo inaitwa prime minister and I kama sijakosea
 
Hii drama gani wajameni
Screenshot_20220707-171057.jpg
 
Asante mkuu ebu nipe story yake kiufupi nione kama ndio yenyewe
Kifupi prime minister anafanya contract/fake marriage na reporter flan ili kuziba scandal ya yeye kupigwa picha na Huyo reporter lkn pia kumsaidia baba wa huyo reporter ambaye alikuwa anaumwa amnesia... Ni muvi Kali sema sijui kama ndo iyo uliyokuwa unamaanisha
 
My liberation notes kwa kiswahili tunaweza kuiita Malalamiko fc,drama nzima imejaa malalamiko tu😂😂😂😂😂😂Bila kumsahau mlevi GU,daily yupo na soju yake,vile viglass vya soju awesome ngoja nikavisake maduka ya vyombo.
 
My liberation notes kwa kiswahili tunaweza kuiita Malalamiko fc,drama nzima imejaa malalamiko tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila kumsahau mlevi GU,daily yupo na soju yake,vile viglass vya soju awesome ngoja nikavisake maduka ya vyombo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule actor mlevi mimi nampendaga anavyoongea ingawa hii bado sijaiangalia
 
My watchlist

Still 17

Legal high

Remember

When camelia blossoms

Devilish charm

Ghost doctor

A beautiful mind

Thirty nine

I wanna hear your song

Something in the rain

Red sleeve

She was pretty

Extraordinary attorney woo

Cheese in the trap

Don't dare to dream

True beauty

A gentleman's dignity

Forecasting love and weather

Kairos
 
My watchlist

Still 17

Legal high

Remember

When camelia blossoms

Devilish charm

Ghost doctor

A beautiful mind

Thirty nine

I wanna hear your song

Something in the rain

Red sleeve

She was pretty

Extraordinary attorney woo

Cheese in the trap

Don't dare to dream

True beauty

A gentleman's dignity

Forecasting love and weather

Kairos

Uko vizur
Just finished Anna
Bae Suzy kawezea humu
 
Back
Top Bottom