Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye website hizi zipo google nkiri.com, kimoitv au netnaijaNaomba msaada mwenye link ya MOMENT OF EIGHTEEN anisaidie
Kote huko nimeikosa hii drama mkuu,hebu icheki na wewe unisaidie kama utaweza tafadhali!Nenda kwenye website hizi zipo google nkiri.com, kimoitv au netnaija
Naomba msaada mwenye link ya MOMENT OF EIGHTEEN anisaidie
Nenda google andika Hilo jina la hiyo drama mbele yake andika kimoitv utaiyonaKote huko nimeikosa hii drama mkuu,hebu icheki na wewe unisaidie kama utaweza tafadhali!
Hiyo kuumiza akili na kuchanganyikiwa ndio kitu napenda sasa.
Aiseeh hivi huwa mnaweza vipi kuangalia drama za mkorea zilizoingiziwa sauti za maneno ya kiswahili? Raha ya drama ni pamoja na yale matamshi ya lugha yao bwana.
Mfano hapa;
Yonga bhushasmika?.....(soma kwa lafudhi yao uone raha yake mkuu[emoji1])
Asanteee.... hivi hamnaga app dizaini ya Netflix iliyokuwa dominated na movies za Korea???
Season 2 inatoka December... 10 episodesHii alchemy of soul ina season 2 **** nimebakiza episode 6 hizi ndazicheki December, Toka ukatili walionifanyia vagabond nimejifunza kitu ,
[emoji23][emoji23][emoji23]alchemy wametoa official kabisa part 2 ni december,vagabond wahuni sana sijui kilitokea nini wakakatisha dahHii alchemy of soul ina season 2 **** nimebakiza episode 6 hizi ndazicheki December, Toka ukatili walionifanyia vagabond nimejifunza kitu ,
Hio Gold mask nipo hapo tangu ep 1 Leo tuko 79one well raised daughter ep 122 daah hii drama nilivuta hadi episode 60 kama kuondoa uraibu wa kukosa vya kudownload kuja kuangalia story ina uongo mwingi hatari ila bado umbea wa kibongo bongo kutaka kujua zaidi ukanivuta mpaka episode ya mwisho
ongoing zinazonitesa
cheer up my life(bravo my life) episode 100 na kitu(wapo ep 101)
Golden mask episode 100 na kitu(wapo ep 77)
Its beautiful now ep 50 saiv wapo ep 46
Baada ya kumaliza family dramas za episode 50 naelekea za episode 100. Family dramas tamu asikusimulie mutu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
VAGABOND ni project kali iliyofeli, sijui wanampango gani maana mpaka sasa tunaelekea mwaka wa nne.Hii alchemy of soul ina season 2 **** nimebakiza episode 6 hizi ndazicheki December, Toka ukatili walionifanyia vagabond nimejifunza kitu ,
Walah umenishtua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikajua mseleleko wa ha tunnel umekwishaMuda wa kuisoma nambaView attachment 2355662
Walah umenishtua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikajua mseleleko wa ha tunnel umekwisha
kuna ile Arthdal chloncle nayoVAGABOND ni project kali iliyofeli, sijui wanampango gani maana mpaka sasa tunaelekea mwaka wa nne.