Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Dubbing ya kiswahili nacheki japo inapunguza utamu hii ndo kd ya Kwanza kuikuta ina dubbing ya kiswahili
Aiseeh hivi huwa mnaweza vipi kuangalia drama za mkorea zilizoingiziwa sauti za maneno ya kiswahili? Raha ya drama ni pamoja na yale matamshi ya lugha yao bwana.

Mfano hapa;

Yonga bhushasmika?.....(soma kwa lafudhi yao uone raha yake mkuu[emoji1])
 
one well raised daughter ep 122 daah hii drama nilivuta hadi episode 60 kama kuondoa uraibu wa kukosa vya kudownload kuja kuangalia story ina uongo mwingi hatari ila bado umbea wa kibongo bongo kutaka kujua zaidi ukanivuta mpaka episode ya mwisho

ongoing zinazonitesa

cheer up my life(bravo my life) episode 100 na kitu(wapo ep 101)

Golden mask episode 100 na kitu(wapo ep 77)

Its beautiful now ep 50 saiv wapo ep 46

Baada ya kumaliza family dramas za episode 50 naelekea za episode 100. Family dramas tamu asikusimulie mutu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hio Gold mask nipo hapo tangu ep 1 Leo tuko 79
 
Muda wa kuisoma namba
Screenshot_20220913-135025.png
 
Back
Top Bottom