Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Mambo yangu hayo yaanj style hizo sitakagi zinipite kama ile Idol The Coup,na kuna web drama inaendelea MimicusMiracle mambo ya idols na music wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yangu hayo yaanj style hizo sitakagi zinipite kama ile Idol The Coup,na kuna web drama inaendelea MimicusMiracle mambo ya idols na music wao
Mambo yangu hayo yaanj style hizo sitakagi zinipite kama ile Idol The Coup,na kuna web drama inaendelea Mimicus
Mambo yangu hayo yaanj style hizo sitakagi zinipite kama ile Idol The Coup,na kuna web drama inaendelea Mimicus
No ni wasiwasi wako tu haina ubayaMimicus nayi ni ya idols
Onlist
Park Eun Bin huyu dada kiboko, alafu naona kings affection ni historia ya upande wa pili ya frozen flower
Kila nikitazama napata hio hisia.
No ni wasiwasi wako tu haina ubaya
No sio ubaya
Naona ni kama kama ambayo King alionekana ni shoga kumbe ndo huyu mwanamke... kwenye manhwa wanasema bodyguard ndo alikua ML same as frozen Queen na bodyguard
Ni nzuri nipo ep ya 19
Kiuhalisia unapenda groups zipiNami nazipenda napenda kuona hustle zao tangu trainee mpaka kuwa idols na changamoto wazipitiazo. Mimicus ntaifatilia
Kiuhalisia unapenda groups zipi
Mimi huwa nalijua kundi akitokea muigizaji huko mfano nilijua kuna BTS baada ya kumuona Tae Hyung(Hwarang) nilijua kuna Astro baada ya kumuona Cha eun woo (True beauty ), 2PM baada kumuona Ok Taec yeon (Vincenzo, Bring it on ghost) n.kKiuhalisia napenda chochote tu ili mradi iwe kdrama isiyo na rainbows . Groups zao za music wala hata sizifahamu.
Mimi huwa nalijua kundi akitokea muigizaji huko mfano nilijua kuna BTS baada ya kumuona Tae Hyung(Hwarang) nilijua kuna Astro baada ya kumuona Cha eun woo (True beauty ), 2PM baada kumuona Ok Taec yeon (Vincenzo, Bring it on ghost) n.k
Sina hakika kama unaongelea group hizi
Sio rahisi kushika, nako Korea kuna magrupu mengi kila siku unakutana nalo jipya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaongelea hizo hizo basi tu nilijitoa ka akili kidogo
Mie huwa nawasearch fani zao halisi kisha nasahau magroup yao nabaki na kumbukumbu kuwa ni wanamuziki kisha waigizaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzee huu
Sio rahisi kushika, nako Korea kuna magrupu mengi kila siku unakutana nalo jipya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Little women[emoji91][emoji91]
Frozen flower alikua mwanaume shoga yule maana hata mkao wa kupelekewa fire ulikua sio kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni Afadhali kukaa katika pembe ya darini, kuliko katika nyumba pana na mwanamke mgomvi,Nipo na Attorney Woo sitamani iishe [emoji16][emoji16][emoji16] bonge moja la drama Daemushin nipatie namba ya Kang ki young jamani, wife wake nitapambana naye hukohuko mbele ya safari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo unamaanisha mimi mkorofiNi Afadhali kukaa katika pembe ya darini, kuliko katika nyumba pana na mwanamke mgomvi,
Mithali 25:24
Mabachelor wote waliojaaa huko seoul wewe watamani mume wa mtu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo unamaanisha mimi mkorofi