Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nami nazipenda napenda kuona hustle zao tangu trainee mpaka kuwa idols na changamoto wazipitiazo. Mimicus ntaifatilia
Mambo yangu hayo yaanj style hizo sitakagi zinipite kama ile Idol The Coup,na kuna web drama inaendelea Mimicus
 
Mambo yangu hayo yaanj style hizo sitakagi zinipite kama ile Idol The Coup,na kuna web drama inaendelea Mimicus

Mimicus nayi ni ya idols
Onlist

Park Eun Bin huyu dada kiboko, alafu naona kings affection ni historia ya upande wa pili ya frozen flower

Kila nikitazama napata hio hisia.
 
No ni wasiwasi wako tu haina ubaya

No sio ubaya
Naona ni kama kama ambayo King alionekana ni shoga kumbe ndo huyu mwanamke... kwenye manhwa wanasema bodyguard ndo alikua ML same as frozen Queen na bodyguard

Ni nzuri nipo ep ya 19
 
Frozen flower alikua mwanaume shoga yule maana hata mkao wa kupelekewa fire ulikua sio kabisa🤣🤣🤣😂😂😂
No sio ubaya
Naona ni kama kama ambayo King alionekana ni shoga kumbe ndo huyu mwanamke... kwenye manhwa wanasema bodyguard ndo alikua ML same as frozen Queen na bodyguard

Ni nzuri nipo ep ya 19
 
Kiuhalisia napenda chochote tu ili mradi iwe kdrama isiyo na rainbows . Groups zao za music wala hata sizifahamu.
Mimi huwa nalijua kundi akitokea muigizaji huko mfano nilijua kuna BTS baada ya kumuona Tae Hyung(Hwarang) nilijua kuna Astro baada ya kumuona Cha eun woo (True beauty ), 2PM baada kumuona Ok Taec yeon (Vincenzo, Bring it on ghost) n.k
Sina hakika kama unaongelea group hizi
 
Anaongelea hizo hizo basi tu nilijitoa ka akili kidogo

Mie huwa nawasearch fani zao halisi kisha nasahau magroup yao nabaki na kumbukumbu kuwa ni wanamuziki kisha waigizaji😂😂😂😂uzee huu
Mimi huwa nalijua kundi akitokea muigizaji huko mfano nilijua kuna BTS baada ya kumuona Tae Hyung(Hwarang) nilijua kuna Astro baada ya kumuona Cha eun woo (True beauty ), 2PM baada kumuona Ok Taec yeon (Vincenzo, Bring it on ghost) n.k
Sina hakika kama unaongelea group hizi
 
Anaongelea hizo hizo basi tu nilijitoa ka akili kidogo

Mie huwa nawasearch fani zao halisi kisha nasahau magroup yao nabaki na kumbukumbu kuwa ni wanamuziki kisha waigizaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzee huu
Sio rahisi kushika, nako Korea kuna magrupu mengi kila siku unakutana nalo jipya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alchemy of souls drama nipo episode 11:

Wenzetu wametuacha mbali sana kiuandishi, huwa nafurahi sana ninapowaona hawa wafuatao wakizungumza pamoja halafu itokezee wawe wanatofautiana kimawazo
  1. Park jin(mkuu wa songrim) na maidservant kim doo joo...hawa watu walianza kupendana tokea walipokuwa na mwaka mmoja wa kuzaliwa lakini hakuna aliyetayari kumtamkia mwenzake.
  2. Mudeok na crown prince go won
  3. Master lee na maid servant kim doo joo
  4. Park dang gu anapozungumza na yeyote, navutiwa sana na khulka za huyu bwana na nywele zake za silver. Ndiyo muhusika anayenivutia zaidi humu ndani

Wenzangu munafuatilia drama gani?
Nipo empty
1663249701785.png
 
Back
Top Bottom