Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna jamaa yangu hawa actresses walio chini ya miaka 30 hawamvutii sana anapenda wale waliovuka hapo,anyway baada ya kuangalia hizi makjang dramas kama Penthouse,Sky Castle,Mine n.k nikaelewa kwa nn.

Anavutiwa na elegance style yao sema daah wanavutia no wonder miaka hii vijana wa Kikorea wanadate sana na wanawake wakubwa kwao [emoji23][emoji23]
Licha ya Penthouse kuwa makhang lakini drama ile ilinivutia sana S3 walikuwa wanatupa arosto kinoma ya Episode 1 kwa wiki...
 
Kuna jamaa yangu hawa actresses walio chini ya miaka 30 hawamvutii sana anapenda wale waliovuka hapo,anyway baada ya kuangalia hizi makjang dramas kama Penthouse,Sky Castle,Mine n.k nikaelewa kwa nn.

Anavutiwa na elegance style yao sema daah wanavutia no wonder miaka hii vijana wa Kikorea wanadate sana na wanawake wakubwa kwao [emoji23][emoji23]
Hali ni tofauti upande wa pili...hawa vijana wa 90s aisee wapo so [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ingawa kaka zao hawako nyuma pia[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa muonekano wake anafaa serious character ni sawa ni ji sung wa vagabond umuweke kwenye comedy naona kama atakuwa kituko
Jisung wa vagabond??? Kama unamzungumzia Lee seung gi aisee yule ananogesha sana kwenye comedy...hata huyo Jisung mwenyewe ni mbaya kwenye comedy kama huamini angalia Kill me heal me au protect the boss. Usichoelewa ni kwamba hao watu wanaijua kazi yao vizuri sana, ukimuona Ji Chang wook kwenye Melting me softly hutoamini kama ndio yule ulimuona kwenye Healer na K2...wanajua kuuvaa uhusika haswaa
 
Jisung wa vagabond??? Kama unamzungumzia Lee seung gi aisee yule ananogesha sana kwenye comedy...hata huyo Jisung mwenyewe ni mbaya kwenye comedy kama huamini Kill me heal me au protect the boss. Usichoelewa ni kwamba hao watu wanaijua kazi yao vizuri sana, ukimuona Ji Chang wook kwenye Melting me softly hutoamini kama ndio yule ulimuona kwenye Healer na K2...wanajua kuuvaa uhusika haswaa
Level hii bongo sijui tutafika mwaka gani Riyama kwenye scene za kuchamba Ndio mwenyewe ukimleta kwenye aina nyingine tofauti anakuwa garasa
 
Guys nimeangalia joy of life and to be truly hii ni zaidi ya Kali, hope nanyi mta enjoy
 
Attachments

  • Screenshot_20220930-143517.png
    Screenshot_20220930-143517.png
    259 KB · Views: 18
Back
Top Bottom