Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] msianze basi
Kwahiyo ile empress mwanamke mlokua mnaisifia ni ipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humu kuna vituko mara wataisifia drama hii kisha wataipondea ni inno pekee anayeisifia drama mwanzo mwisho
Hahaha
Tena kama mmetumwa
[emoji1787][emoji1787] siamin hii safar niloianza bora ningekaa kimya ep 51 nahitaj ma motivational kabisa
Inno wa Vagabond,innocent defendant na the veil[emoji1787]
Aliyekwambia utafute drama ndefu mfano wa kitabu cha DINI nani?[emoji23][emoji23] msianze basi
Kwahiyo ile empress mwanamke mlokua mnaisifia ni ipi
Na wa empress Ki[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyekwambia utafute drama ndefu mfano wa kitabu cha DINI nani?
Mtafute innocent akusaidie masimulizi
Binafsi niliimaliza yote na hakuna drama ya porini niliwahi kupenda kama hiyo niliweza kuimaliza kwasababu kila episode inapoisha inakupa hamasa kucheki next episodeNimeianza Empress Ki
Wakati naishusha niliona epi 20 kumbe kuna next page, ziko 51
Yaan mpaka natetemeka [emoji23][emoji23]
Ha ji won ni bonge la actress uigizaji wake Unaweza kuwazidi Hata ma actors Wengi sana namkubali sana huyu mwanamama shida yangu ni Moja tu maproducer Wengi wanampa drama za ovyo ukiitoa Empress ki hakuna drama nzuri aliyowahi kupewa imagine angepewa drama ya The world of marriage, whisper au nyingine yoyote nzuri ingekuaje? hata hiyo The empress ki kwa kiasi kikubwa yeye ndio ameifanya iwe Kali kupita maelezo kutokana na umahili alioneshaha ji won hajawahi kuni impress
project zake nyingi nimeziepuka sijui kwa sababu gani.
haya nimeshatangaza vita na bwana Ziyech22
Ukitoka hapo pitia QUEEN SEONDEOK[emoji1].Nimeianza Empress Ki
Wakati naishusha niliona epi 20 kumbe kuna next page, ziko 51
Yaan mpaka natetemeka [emoji23][emoji23]
Inaitwa "A Tree With Deep Roots"...
Hapa unamuonea Numbisa unamuonea ha ji won by the way huyu ni actress ambaye yupo full package Anaweza akacheza drama katili wakati muonekano wake ni waupole na ukaheshimu alichofanya sema ni kwamba maproducer Wengi wanampa kazi mbovu like chocolate etc huyu angekuwa kapewa kazi kama Dangerous wife na nyingine angepaa zaidi ya Hapo alipoAina yake ya kuigiza huwa naona anajiamini mpaka anapitiliza viwango vya kujiamini. angekua bongo ungesema yeye ndo actress,director,makeup artist, stylish, etc yaani kama akina ray kigosi vile
Drama za porini zenye episode nyingi ambazo nilizipenda ni EMPRESS KI, DONG YI, QUEEN SEONDEOK, hizi ni ndfu ila story zake zimepangiliwa vizuri mno.Binafsi niliimaliza yote na hakuna drama ya porini niliwahi kupenda kama hiyo niliweza kuimaliza kwasababu kila episode inapoisha inakupa hamasa kucheki next episode
Huo ugumu ambao wewe uupendi sisi ndio tunavutika nao huyu ndio muigizaji pekee wa kikorea ambaye nimemfollow instagram napenda sura yake ya upole aliyonao lakini ana action za ugumu au ukatili ndani yake hii ina nikosha sana moyo natamani angekuwa anapewa project kubwa kama anavyopendelewa ji sung angetisha zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi sinaga moto nae sijui kwa sababu anavyojikutana mgumu.
Type zangu ni akina Han Hyo Joo,Han Ji Min,Seo Hyun Jin,Lee Da Hee,Yoo In Na na akina noona wengine wenye charms zao[emoji16]
Mkuu nimeona huko juu Daemushin pamoja na pacha wake Numbisa wakishirikiana kikamilifu na Al-Hadidy wakimponda ha ji won eti hawavutiwi nae kwa upande wako unamuonaje huyu dada aliyecheza kwenye The empress ki kama main character?Drama za porini zenye episode nyingi ambazo nilizipenda ni EMPRESS KI, DONG YI, QUEEN SEONDEOK, hizi ni ndfu ila story zake zimepangiliwa vizuri mno.
Kwenye empress ki kuna haka kajamaa kalicheza kama ka enuch ka mfalme, nimekakuta tena kwenye Alchemy[emoji1]View attachment 2380535