Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

H
Nimekuwa mfuatiliaji wa korean drama enzi na enzi toka kipindi iko hawa watu wananivutia sana wapo seriours na kazi toka enzi hizo za kina

jumong
Slave hunter
Yi san {wind of palace}
JOOn wo Chi
Emperor of the sea
3Days
Emperor Ki
Warrior baek dong-soo
Bichunmoo
Queen seondeok
Gu family book
Bridal mask
moon lover
The night of witchman

na nyingine kali za kipindi iko mpaka hii leo 2022 nimeangalia filamu mingi sana za korea kuna filamu kali kama

innocent defendant
secret
The lover
IRS
king's affection
Arthdal Chronicles
Alchemy of souls
Ghost doctor
Pachinko
Mr Qeen
Mouse
The last empress
money heist
Sqeed game
tomorrow
the sound of magic
all of us are dead
the gurdian
Mingi sana nyingine nmesahau but tafuta filamu hizo utajua hawa watu wanajua sana
Hii list bila ya" Athena" ni batili
 
Kuna family drama moja. Jamaa kijana tu kaajiriwa kama mtu wa mapokezi sasa ile siku ya kwanza tu akasimama reception akisalimia kila anayeingia kwa sauti kubwa. Boss wake akamuuliza hivi kuna ancestors wako aliefariki bila kutoa salamu,mbona salamu nyingi hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jina la hiyo drama tafadhali,family drama ni genre yangu nyingine pendwa
 
Back
Top Bottom