Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nami naangalia hio hio japo ni law drama ila haijakosa comedy. Ila kwa muda huu nimeiweka kando kwanza nicheki world cup😂😂😂😂
Niko zangu naangalia one dollar lawyer nafurahi tu ndio kwanza nipo episode ya tatu, napendaga drama zilizochangamka toka mwanzo
 
Queen_Seondeok_S01E03_KimoiTV.com_1.gif

Chawa wa mishil ,
Huyu mmoja ni ni ndugu yake na mwengine ni mwanawe .

Wameonekana mitaa ya kwa hajitumbo wakitafuta mganga atakayeweza kumrudisha tumboni mtoto aliyekwisha zaliwa aitwae deok man

Picha na muandishi wetu mnywaji urojo
 
Je kuongeleshwa kitu kisha mtu anapaliwa au kuzitema tambi bado haijakuchosha😂😂😂😂ila hawa watu jamani hadi sinki la jikoni wanapigia mswaki hapo
Wanawake wa korea wakitumia shindano ya mkono kwa ajili ya kushonea ni lazima wajichome kidoleni.

Script hii imeshachosha bwanaaa
 
Je kuongeleshwa kitu kisha mtu anapaliwa au kuzitema tambi bado haijakuchosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila hawa watu jamani hadi sinki la jikoni wanapigia mswaki hapo
Au ile eti chakula kibaya mtu anatema humohumo kwenye bakuli...wananikera sana. Hivi kweli hata kama mtu hajui kupika chakula ndio hakiliki kabisa?
 
Scarlet Heart: Ryeo (historical ep 20)

Goblin ep 16

Strong woman do bong soon ep 16

weightlifting fairy kim bok joo ep 16

Am not a robot ep 16

True beauty ep 16

reply 1988 ep 20
suspicious partner ep 16
fight for my way ep 16
hwarang
love in the moonlight
the heirs
the bride of habaek
Happiness
bring it on ghost
the liar and his lover
graceful family
jealousy incarnate
blood
radio romance
encounter
flower of evil
the king in love
my sassy girl
rookie historian go hae ryung
prison playbook
mirror of the witch
scholar who walks the night
yong pal
the flower in prison

Hizo ni baadhi tu ya nilizozipenda,nimechoookaaa kutype. Tumeshakubaliana humu maelezo tumuachie inno😂😂😂. Najua zoote umeshaangalia💃💃💃
View attachment 2422704
Chawa wa mishil ,
Huyu mmoja ni ni ndugu yake na mwengine ni mwanawe .

Wameonekana mitaa ya kwa hajitumbo wakitafuta mganga atakayeweza kumrudisha tumboni mtoto aliyekwisha zaliwa aitwae deok man

Picha na muandishi wetu mnywaji urojo
 
Wanashangaza sana halafu ni maskini kwa matajiri wote tabia moja😂😂😂. Vipo ambavyo ambavyo haviliki lakini sio kutemea kwenye chombo husika
Au ile eti chakula kibaya mtu anatema humohumo kwenye bakuli...wananikera sana. Hivi kweli hata kama mtu hajui kupika chakula ndio hakiliki kabisa?
 
msaada:
niwekee list ya drama ulizoangalia na kukuvutia
itapendeza ikiwa utanipa sababu ya kuvutia kwako, hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
lakini family drama zisiwe kwenye list yako

ondoa wasiwasi mjinga mimi sijaangalia drama zote za wakorea.
mpaka hili pia mutashindwa?
sidhani
Daemushin hizi hapa

1. Whisper ni ya matumizi ya akili Sana inamuhusu jaji aliyetoa hukumu ya baba mmoja asiye na hatia kutokana na nguvu ya mamlaka ya juu anajikuta anaingia kwenye mtihani mzito kutoka kwa binti wa baba alimuhukumu anachezewa mchezo na yule binti wa kuonekana amebaka na kurecordiwa video na anaambiwa ili asitoe ile video public afanye kazi under ya yule binti huku kumbuka yule judge ana back up ya mamlaka ya juu so anajikuta yupo njia panda wapi achague side

2.The last nayo ni ya akili Sana na inamchanganyiko na ngumi

3.fates and furious hii ni ya mapenzi dada anajaribu kuzama kwenye mapenzi na Tajiri kwa lengo la kulipiza kisasi

4.The great queen

5.dangerous Wife
 
Back
Top Bottom