DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
Aahhhh!!! Wapi....Sio mchongo huo nakupa[emoji1]
Kikorea chako cha Joseon era na Gen MZ hakitoshi kupata tafsir za kizungu
Jambo usilolijua.
Ahsante kwa mchongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahhhh!!! Wapi....Sio mchongo huo nakupa[emoji1]
Kikorea chako cha Joseon era na Gen MZ hakitoshi kupata tafsir za kizungu
Umeshakuwa master katika hiyo sekta.
Hayo majina mengine ndio kwanza nayasikia kutoka kwako.
Una haki ya kushabikia na kufuatilia chochote unachoona kitakupa utulivu nafsini, jambo lenyewe likiwa haliendi kinyume na maadili ndio furaha huzidi zaidi.
Endelea kusonga mbele
Geonbae
Cheers
Crach landing on youTop 10 Highest Rated Cable TV Dramas
1. The World Of the Married - 28.4%
2. SKY Castle - 23.4%
3. Crash Landing On You - 21.7%
4. Reborn Rich 19.4% (ongoing)
5. Reply 1988 - 18.8%
6. Goblin - 18.7%
7. Mr. Sunshine - 18.1%
8. Extraordinary Attorney Woo - 17.5%
9. Mr. Queen 17.4%
10. Under The Queens Umbrella 16.9%
umeangalia ngapi?
dae hajaangalia tatu, reborn rich sijaanza kuiangalia japokuwa naipakuwa kila episode inapotoka
View attachment 2437800
[emoji16][emoji16][emoji16] noma sanaSijatizama Goblin tu
[emoji3]
[emoji23][emoji23]ni hatarii[emoji16][emoji16][emoji16] noma sana
Kama ulimaanisha kama nilivyoelewa, niseme tu umefika hatua kubwa mno[emoji1].Hivi Dae hujafikia kiwango cha ku subtitle
Nipo natizama Phantom singer moja tu ndo ina subtitle alaf ni variety yamotooo
Kama ulimaanisha kama nilivyoelewa, niseme tu umefika hatua kubwa mno[emoji1].
Mai Chingu, Umenifanya Nikoment Umu Baada ya Kipindi Kirefu. Shuklani Rafiki.mchana wangu unasongeshwa na sauti ya park hyo shin, the king of ballad songs nchini korea upande wa kusini kwa mtazamo wangu.
pengine ndiye crown prince kwa matumizi ya husky voice
============
- after love
- A Road That Can't Be Found
- as always
- Autumn Letter
- close my eyes
- Distant memories of you
- The Day
- beautiful tomorrow
- breath
- buried pain
- because I'm common man
- dream
- far away
- flower letter
- snow flower
- fool
- gift
- go
- please
- good bye
- good person
- goodbye love
- happiness
- happy together
- home
- I know her
- I loved her
- I told you the word
- I'm your friend
- its true love
- lets hate to each other
- letter
- living things
- longing
- lost
- lover
- love that common
- me too
- memory resembles
- peter pan
- pianist
- please
- sand castle
- scattered days
- solace
- sound of winter
- standing in that spot
- That night of 1991, when cold wind blew
- dreamer
- the other day
- then
- things I cant do for you
- we don't know
- why would heaven tell me
- wild flower
- winter butterfly
- yearning
- it's you
- grief
- wind's blowing
umewahi kusikiliza ngapi?
huo namba 42 umfikie Gyeoul
huo namba 48 umfikie mama yangu mzazi, kwa matunzo yake dhidi yangu kwa miongo yote (jua,mvua, baridi, upepo, homa, shida, karaha, maudhi)
kiukweli sina cha kumlipa.
and Unaweza fungua PM yako Nina Maongezi Mafupi ya Kukujuza.mchana wangu unasongeshwa na sauti ya park hyo shin, the king of ballad songs nchini korea upande wa kusini kwa mtazamo wangu.
pengine ndiye crown prince kwa matumizi ya husky voice
============
- after love
- A Road That Can't Be Found
- as always
- Autumn Letter
- close my eyes
- Distant memories of you
- The Day
- beautiful tomorrow
- breath
- buried pain
- because I'm common man
- dream
- far away
- flower letter
- snow flower
- fool
- gift
- go
- please
- good bye
- good person
- goodbye love
- happiness
- happy together
- home
- I know her
- I loved her
- I told you the word
- I'm your friend
- its true love
- lets hate to each other
- letter
- living things
- longing
- lost
- lover
- love that common
- me too
- memory resembles
- peter pan
- pianist
- please
- sand castle
- scattered days
- solace
- sound of winter
- standing in that spot
- That night of 1991, when cold wind blew
- dreamer
- the other day
- then
- things I cant do for you
- we don't know
- why would heaven tell me
- wild flower
- winter butterfly
- yearning
- it's you
- grief
- wind's blowing
umewahi kusikiliza ngapi?
huo namba 42 umfikie Gyeoul
huo namba 48 umfikie mama yangu mzazi, kwa matunzo yake dhidi yangu kwa miongo yote (jua,mvua, baridi, upepo, homa, shida, karaha, maudhi)
kiukweli sina cha kumlipa.
Karibuand Unaweza fungua PM yako Nina Maongezi Mafupi ya Kukujuza.
Bado Umeifunga au ni Mimi Sielewi.Karibu
Hata mimi sielewi,Bado Umeifunga au ni Mimi Sielewi.
Unaweza Anza nitext!?Hata mimi sielewi,
siku chache zilizopita mbona nilizungumza na maxence melo.
Ina nini hiyo summer strikeCurrent,
1. Reborn rich
2. Summer Strike- Hii si Aina ya Watu Wote waweza Angalia.
3. Adamas
4.Curtain Call- Hii Sabbu ya Ha ji won.
Ni Aina Kama ya Lost Drama Kama Umeshaiona, Ama My Mister ama Liberation Notes Iko Kwa Maudhui Kama Hayo, Sa si Wote Wanaelewa Drama Za Nmna Iyo.Ina nini hiyo summer strike
Loh kati ya zote ulizonitajia sijaangalia hata mojaNi Aina Kama ya Lost Drama Kama Umeshaiona, Ama My Mister ama Liberation Notes Iko Kwa Maudhui Kama Hayo, Sa si Wote Wanaelewa Drama Za Nmna Iyo.
Ni Yale Maudhui yanayojikita kwenye Maisha yetu Halisi, Namna tunavyoishi, Utafutaji Wetu na tunayokutana nayo kama BinaAdam ama yaliyomo kwenye Familia Zetu. sio Drama Ile ya Amsha Amsha yaani Hii Iko taratibu.
Hayo maudhui yangu pendwaNi Aina Kama ya Lost Drama Kama Umeshaiona, Ama My Mister ama Liberation Notes Iko Kwa Maudhui Kama Hayo, Sa si Wote Wanaelewa Drama Za Nmna Iyo.
Ni Yale Maudhui yanayojikita kwenye Maisha yetu Halisi, Namna tunavyoishi, Utafutaji Wetu na tunayokutana nayo kama BinaAdam ama yaliyomo kwenye Familia Zetu. sio Drama Ile ya Amsha Amsha yaani Hii Iko taratibu.
Taste Zetu Hua Zinafanana, Mara nyingi drma unazoangalia Namimi Ivyo ivyo.Hayo maudhui yangu pendwa