talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Taste Zetu Hua Zinafanana, Mara nyingi drma unazoangalia Namimi Ivyo ivyo.
Kweli Eh Nakumbuka
Umepotea hapa kati
Ngoja nishushe Summer strike sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taste Zetu Hua Zinafanana, Mara nyingi drma unazoangalia Namimi Ivyo ivyo.
Jang UK naona amewiva katika mapigano amezidi kuwa mtabeSijui kwanini Mudeok hajarudi kwenye hii season 2, na Naksu hamkumbuki JangOk.
Aaaagh
Sijui kwanini Mudeok hajarudi kwenye hii season 2, na Naksu hamkumbuki JangOk.
Aaaagh
Hatimaye nimemaliza prison playbook....nataka nianze From now on showtime ila naona kama inaniboa hebu Numbisa nitie moyo kuna siku nilisikia unaitaja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeigugo nimeona inahusiana na mambo hayo ila naona kama imepooza na naona kama ndio zile drama zenye gizagizaIshia tu hapo hapo ulipoona inakuboa maana inahusu masuala ya mizimu na mazingaombwe,its true inaboa kama haupendi masuala ya mizimu. Mie napenda kila kitu hivyo niliiangalia mpaka mwisho[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeigugo nimeona inahusiana na mambo hayo ila naona kama imepooza na naona kama ndio zile drama zenye gizagiza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Cheer up hainipi mzuka wa kuiangalia kabisa, halafu nina allergy na ongoing. Naomba pendekezo lingine la drama za mwaka huu, mwaka jana au mwaka juzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena kama umetoka kuangalia drama tamu ya prison uje udondokee kwa showtime utajutia muda wako. Iweke kando chukua hata cheers up japo ni ongoing na inasua sua kuendelea ila itakupa burudani
Sijui kwanini Mudeok hajarudi kwenye hii season 2, na Naksu hamkumbuki JangOk.
Aaaagh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Cheer up hainipi mzuka wa kuiangalia kabisa, halafu nina allergy na ongoing. Naomba pendekezo lingine la drama za mwaka huu, mwaka jana au mwaka juzi
Hivi wewe kuna series iliyowahi kukushinda kweli?Ishia tu hapo hapo ulipoona inakuboa maana inahusu masuala ya mizimu na mazingaombwe,its true inaboa kama haupendi masuala ya mizimu. Mie napenda kila kitu hivyo niliiangalia mpaka mwisho[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi tena sijui kama nitaangalia. Ngoja nilete mapendekezo yangu mnisaidie ya kuanza nayoHiyo inataka moyo wa ziada ina kama Ubongo muvi[emoji1787][emoji1787] ila nasubiria ep za mwisho
Hivi wewe kuna series iliyowahi kukushinda kweli?
Tempted
Judge vs judge
Our blues
Dr lawyer
The world of the married
The king's affection
Bad prosecutor
The Queen's umbrella
Chicago typewriter
Bossam steal the fate
High school king of savy
Love is for suckers
Niambieni ipi nianze nayo [emoji16][emoji16] mnipe tu ushauri ila sio lazima niufuate