Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Takribani drama 118 zimeonyeshwa kupitia vituo mbalimbali vya televisheni na media streaming kwa mwaka 2022.
nimeamua kuweka list ya drama nilizoziangalia kati ya hizo zilizoonyeshwa na nyenginezo zilizo nje ya mwaka huu.

drama za mwaka 2022 nilizoziangalia
  1. alchemy of souls season 1 and 2 drama
  2. our blues drama
  3. one dollar lawyer drama
  4. through the darkness drama
  5. under the queen umbrella drama
  6. military prosecutor doberman drama
  7. why her / oh soo jae drama
  8. reborn rich drama
  9. narco saints drama
  10. doctor lawyer drama
  11. shadow detective drama
nje ya mwaka 2022
  1. should we kiss first drama
  2. vincenzo drama
  3. run on drama
  4. she would never know drama
kadri siku zinavyosogea, kiwango cha unywaji kinapungua.
ni jambo la kufurahisha sana kiupande wangu
miaka miwili nyuma nilikuwa na uwezo wa kuangalia drama 50 kwenda juu.
Ahsante Mungu

Uko vzr 👏🏿👏🏿
 
Mimi nadhani nimeangalia 50+...Sasa hivi nipo na Under the Queen's umbrella kisha naingia Narco Saints
Nyingine nilizoangalia hapo ni One dollar lawyer, Vincenzo na Alchemy of souls season 1

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂😂daah aiseee

Aliyenidanganya ati dae ni mpemba nina mawe yake ya kumpopoa sio kwa gazeti hili. Dae ni mzaramo yule aliyechangamka haswa.
uwezo wa kutupa mualiko watu wote huna, ila uwezo wa kuchagua japo mmoja wao sidhani kama unakushinda.
kwa mara nyengine umeninyima mualiko wa krisimasi.
pia umeshindwa kunitumia hata boksi la sato jioni ile ya tarehe 26 (nilitegemea utajisahihisha)
kumbe nilikuwa najipumbaza

wachoyo wa pilau wana mji wao
wachoyo na khulka zao
wachoyo na group lao

watakunyima drama kwa kisingizio hawajui kuandika summary
basi hata sikukuu iwashinde au nayo yahitaji summary?
👨‍🎤👨‍🎤👨‍🎤👨‍🎤
 
Ya ziwani yameisha kama yapo acha samaki na dagaa waogelee. Tutakumwagia ya visimani usije penda kushindia ugali mlenda bure. Endelea na urojo tu😂😂😂😂
kheri ya kutimiza kwangu miaka 7 ndani ya Jamii forums siku 15 zilizopita.
haya nimwagieni ndoo za maji ya ziwa victoria
 
huwezi amini kilichomtokea lee seung gi pamoja na umaarufu wake wote . . lee seung gi alikua chini ya kampuni ya HOOK ent. inayosimamia kazi zake za kisanii, licha ya kuwa mwigizaji alikua ni mwanamuziki pia, lakini cha ajabu ndani ya miaka 18 ya kutoa nyimbo (jumla nyimbo 137) management hiyo haijamlipa hata mia, narudia hata ile mia hajapewa kwa miaka 18 wakawa wanamdanganya haingizi pesa anatia tu hasara . . kwa miaka yote hiyo actor huyo wa vagabond na my girlfriend is gumiho/gu family book amekua akiamini hatengenezi faida kwenye mziki sababu ndio kitu alikua naambiwa na HOOK tangu mdogo ila mwaka huu ndio akaja akastuka kwa mara ya kwanza ndio kudai haki yake [emoji119] media ijulikanayo kama dispatch ya korea ikafanya uchunguzi ikagundua lee seung gi ameingiza jumla ya usd 7.1 million ambayo ukileta kwenye fedha za kibongo inakua ni billion 16.5 kwenye mziki pekee [emoji15] . . polisi nao wakaingilia kati, management yake ikaona aibu na sasa lee amelipwa billion 8.8 (nishaziweka kwenye fedha za tz) lakini lee ametoa zote kwenye vituo vya wahitaji (charity) na amewashtaki managament yake kwa udhulumaji na udanganyifu wa fedha waliofanya na amevunja mkataba

Source insta
Abarikiwe sana lee seung gi.
 
New couple in town. Nimefurahi wamezima kiki ya Song joong ki maana ile couple nilikuwa nachefukwa kila nikiiona
download.jpg

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa alivyoka jeshi nilisoma sehemu sijui humu au mtandaoni kwamba alimnunulia gari mpenzi wake sasa najiuliza ndo huyo binti au mwingine?
IU anahonga
Sema kanajua kupenda hako, yule baby wake radio presenter watu walimsemaaa
Sema nlitaman IU awe na kim so hyun[emoji45]
Wanasemaga ni mabest ila dah
 
Back
Top Bottom